Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu


Hukuwa na sababu ya kumuunganisha jamaa kufanya dhambi kama hiyo coz wewe unaandikiwa hiyo dhambi as well
 
Maboss wengi na watu wazito kwenye makampuni mfano(vituo vya redio na televisheni),mitandaonya simu,kiwanda cha filamu,muziki na hata umodo wengi ni mashoga..

Watu wengi hujikuta wameingia kwenye mlengo wa kufanya hayo makufuru kwasababu ya tamaa za vijizawadi na pesa..

Ila kama wewe ni mwanaume unayejiamini huwezi chukua pesa ya laana kama hiyo,kwanza waza hako kalaki au milioo vitakupeleka wapi.?

Akikutosa job kisa umemkazia mwambie baridi tu mi ni kidume niko dunia kuteseka na kula kwa jasho kama ilivyoandikwa kwenye maandiko then INGIA MTAANI PIGA HARAKATI KAMA MWANAUME..

MWANAUME HUTAKIWI KAMWE KUKUBALI PESA ZA BURE BURE..
 
Kwangu tofauti. Nilinyang’anywa demu na msagaji. Sifa za msagaji zilikuwa nzito. Alikuwa na nywele fupi kama zangu. Sura nzuri na cute ajabu kama mbulu au muiraq. Alikuwa na ma hips na matako makubwa ajabu. Kaumbika kama amber rose. Ana hela kuliko mimi. Alikuwa mzuri kuliko demu yangu. Hapo ni Bilicanas 1994.
Sitasahau machungu yale goku.
 
Mm nlikuwa nakaaa Maeneo flani Ya fire Kariakoo mwaka Jana Nlipokuwa mwaka wa Pili Chuo cha muhimbili Sasa siku Nkawa nmeshuka chini kununua chakula maana hyo sehemu nliyokuwa nakaa ni ghorofani, sasa nlikuwa nina Mzuka na Chipsi Nkawa nmejipangia kuwa jioni ndo ntakula wali , Sasa nmeshuka hivi kuna kihoteli Wanauza Chipsi wameweka Lile lakuuza chipsi Kwa nje , Nmefika pale nkawa nasubria order yangu akapita shoga wa kwanza Kwenye barabara ya lami Iliyokuwepo mbele ,mara baada ya Dakika tano akapita wa pili , mara tena baada ya dakika Tano akapita wa tatu Anatingisha na Makalio ,dah kubababake nkaahirisha Kula Chipsi Nkasepa Maana nkasema Nuksi Hii[emoji3] nkasema ntakula Wali tu asee
 
Ulijuaje kua ni Mashoga??
Walibeba bango au walipita kwa kujitambulisha??
 
Mitaa yako hiyo kwa nyuma pale..
 
Niliwah kuwa na mahusiano na mwanaume anaependa kutoka na wadada wanaosagana, alianza kunishawishi kupenda wanawake wenzangu then aunganishe iwe 3some ndio anafurahia. Alitafuta hadi mwanamke wa kunifanyia hiyo michezo, yalinishinda ilibidi tuachane.
 
Niliwah kuwa na mahusiano na mwanaume anaependa kutoka na wadada wanaosagana, alianza kunishawishi kupenda wanawake wenzangu then aunganishe iwe 3some ndio anafurahia. Alitafuta hadi mwanamke wa kunifanyia hiyo michezo, yalinishinda ilibidi tuachane.
Sio mambo ya kila mtu... Huyo bwana alikua na fantasy sana....

Vipi bado u singo lady?
 
Sio mambo ya kila mtu... Huyo bwana alikua na fantasy sana....

Vipi bado u singo lady?
Niliona sitaweza. Nianze usagaji kisa fantasy za mtu. Nikapita hivi.

Sipo single nishachukuliwa.
 
1. Mwako 2002 nilibahatika kwenda UK kwa mwaka mmoja na nusu. Basi jioni moja nilikuwa napunga upepo kwenye bustani ya Hyde Park London, akaja mzungu mmoja akaketi jirani nami. Akanisalimia huku akijipigisha story za hapa na pale kujenga atmosphere nzuri . Alipoona mazingira yanaruhusu alibadili mada taratibu akaanza kuingiza verse za kuniomba kinyeo. Yaani jamaa alikuwa kama mwendawazimu, akanipigia magoti eti, I promise it'll be ok!! Duh, kilistuka kwa mshangao mkubwa, nikapigwa bumbuwazi. Nikuwa wima (sikumbuki hata nilisimama saa ngapi) nilisonya kwangu kisha nikajikuta nimeacha tusi kwa Kiswahili, "kumbe wewe mshenzi sana". Jamaa aliona temper yangu akainuka ghafla akisema I'm sorry huku anasema. Kweli Ulaya mashetani wamejaa tele!

2. Mwaka 2006 nilihamishiwa kikazi kwenye mojawapo wa mikoa yenye baridi kali, nikiwa bado mgeni mkubwa wangu wa kazi aliniita chumbani mwake. Nikajua nakwenda kupokea maagizo ya kazi. Alikuwa maji ya kunde ana umbo la kike, matako makubwa yamelegea akikupa mgongo utadhani mwanamke. Anapiga pafyumu mpaka kero, akiingia sehemu, basi panafurika harufu kali ya marashi, ni mtanashati hatari. Nilipoingia akanijaribisha kiti, kisha akainuka akafunga mlango. Alikuwaamefunga taulo tu, basi akatupa taulo, pumzi ikanioanda vibaya sana, moyo unaunda mpaka nasikia, nikawa tayari kwa lolote, hasira kali sana ndani yangu. Jamaa kwa upole na unyonge akajilaza kitandani kifudifudi kisha akaniambia, huwa nina matatizo ya mgongo, naomba utoe nguo uje unijalie mgongoni uwe unanisugua mgongo. Huwezi amini, hasira zote zitaisha nikabaki nimepigwa bumbuwazi, sikupiga hatua, sijui hata niseme nini. Akasema tena baada ya muda, panda kitandani basi. Duh, ndipo fahamu zikanirudia, nikamwambia naomba nikatoa na jasho kwanza nakuja sasa hivi bosi. Basi akadhani nimemwelewa akasema nisichelewe kwani hali yake mbaya.

Nilipotoka nikamwita rafiki yangu mmoja mwenyeji (class mate wangu A Level) nikamhadithia mkasa, ndipo akanitonya, huyu bosi ni shoga na kuna mkubwa mwingine alishamfanya kama mkewe. Nilichoka mwili na roho.

**Haya ni matukio ya kweli kabisa.
 
Niliwah kuwa na mahusiano na mwanaume anaependa kutoka na wadada wanaosagana, alianza kunishawishi kupenda wanawake wenzangu then aunganishe iwe 3some ndio anafurahia. Alitafuta hadi mwanamke wa kunifanyia hiyo michezo, yalinishinda ilibidi tuachane.
🤔
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah nimecheka kinoma aisee
 
Niliwah kuwa na mahusiano na mwanaume anaependa kutoka na wadada wanaosagana, alianza kunishawishi kupenda wanawake wenzangu then aunganishe iwe 3some ndio anafurahia. Alitafuta hadi mwanamke wa kunifanyia hiyo michezo, yalinishinda ilibidi tuachane.
Aish i could write a story book kwa sexscapades zako🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…