Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
KINEMBE FM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku kule fb nilitupia picha kali watu wengi waka like na kucomment ila zilinishangaza comments za jamaa mmoja ambaye ni mtu mzima wa age ya 40+ yeye alinisifia sana alikuja hadi inbox na kudai anataka tuonane kabisa na alikuwa serious akafunga safari kutoka Dar kuja Tanga
Alipofika Tanga nikamzimia simu lakini hakukata tamaa tena alikuwa mwalimu mkuu wa shule fulani kubwa tu hapo Dar...
Hakukata tamaa akaja tena mara ya pili nikamfanyia yaleyale hakukata tamaa akaja tena kwa mara ya tatu nikaona ngoja nikamit nae tu nijue anataka nini..
Nikampokea pale stend nikamleta hadi home kiukweli alionekana mstaarabu na huwezi kumzania kuwa ni bwabwa.. Akadai anataka alale hapohapo home nikamgomea alibembeleza sana nikamwambia zipo guest nyingi tu nitampeleka akalale..
Akakubali kishingo upande.. Nikampeleka guest, alinibembeleza hadi kutia huruma pamoja na kunishawishi kwa hela ila nilikataa katakata (kiukweli kwa style aliyonibembeleza angekuwa ni mwanamke hata mzee kiasi gani ningefumba macho nikagegeda tu)
Ikabidi nitoke kwa nguvu niende home roho iliniuma sana ila sikuwa na namna, ikabidi nipitie maskani nikawapa story masela mmoja akapenda kwenda kumkamua nikamuunganisha nae wakamalizana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulijuaje kua ni Mashoga??Mm nlikuwa nakaaa Maeneo flani Ya fire Kariakoo mwaka Jana Nlipokuwa mwaka wa Pili Chuo cha muhimbili Sasa siku Nkawa nmeshuka chini kununua chakula maana hyo sehemu nliyokuwa nakaa ni ghorofani, sasa nlikuwa nina Mzuka na Chipsi Nkawa nmejipangia kuwa jioni ndo ntakula wali , Sasa nmeshuka hivi kuna kihoteli Wanauza Chipsi wameweka Lile lakuuza chipsi Kwa nje , Nmefika pale nkawa nasubria order yangu akapita shoga wa kwanza Kwenye barabara ya lami Iliyokuwepo mbele ,mara baada ya Dakika tano akapita wa pili , mara tena baada ya dakika Tano akapita wa tatu Anatingisha na Makalio ,dah kubababake nkaahirisha Kula Chipsi Nkasepa Maana nkasema Nuksi Hii[emoji3] nkasema ntakula Wali tu asee
Mitaa yako hiyo kwa nyuma pale..Hata pale Matema/C Park kinondoni B kuna wasagaji.
Nakumbuka nilikuwa nainuka kwenda msalani, ghafla mdada kavaa dera ananifuata nyuma.
Kufika msalani nae kasimama kwenye sinki nje....nilivyotoka akaanza kunitongoza kabisa.
Na aka-offer kuwa nikiondoka nae atanipa laki.
Nikajisemea laki kwa mtu asie na uume, haina hasara....
Mwisho....ila laki yake nilichukua.
Ndo nimeshangaa, nlitaka nimuulize hivyo pia.Ulijuaje kua ni Mashoga??
Walibeba bango au walipita kwa kujitambulisha??
kwni we ukipita sehemu unazani watu! HawakujuiNdo nimeshangaa, nlitaka nimuulize hivyo pia.
Yaan watu wako na stress had hawajielew.
Sidhan km anasoma MUHAS kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ukasagwa ipasavyo...
Sio mambo ya kila mtu... Huyo bwana alikua na fantasy sana....Niliwah kuwa na mahusiano na mwanaume anaependa kutoka na wadada wanaosagana, alianza kunishawishi kupenda wanawake wenzangu then aunganishe iwe 3some ndio anafurahia. Alitafuta hadi mwanamke wa kunifanyia hiyo michezo, yalinishinda ilibidi tuachane.
Niliona sitaweza. Nianze usagaji kisa fantasy za mtu. Nikapita hivi.Sio mambo ya kila mtu... Huyo bwana alikua na fantasy sana....
Vipi bado u singo lady?
Haha sawa sawa ...Niliona sitaweza. Nianze usagaji kisa fantasy za mtu. Nikapita hivi.
Sipo single nishachukuliwa.
1. Mwako 2002 nilibahatika kwenda UK kwa mwaka mmoja na nusu. Basi jioni moja nilikuwa napunga upepo kwenye bustani ya Hyde Park London, akaja mzungu mmoja akaketi jirani nami. Akanisalimia huku akijipigisha story za hapa na pale kujenga atmosphere nzuri . Alipoona mazingira yanaruhusu alibadili mada taratibu akaanza kuingiza verse za kuniomba kinyeo. Yaani jamaa alikuwa kama mwendawazimu, akanipigia magoti eti, I promise it'll be ok!! Duh, kilistuka kwa mshangao mkubwa, nikapigwa bumbuwazi. Nikuwa wima (sikumbuki hata nilisimama saa ngapi) nilisonya kwangu kisha nikajikuta nimeacha tusi kwa Kiswahili, "kumbe wewe mshenzi sana". Jamaa aliona temper yangu akainuka ghafla akisema I'm sorry huku anasema. Kweli Ulaya mashetani wamejaa tele!Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,Kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo.
Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa alipotokewa kwa mara ya kwanza na kama alikubali au alikataa alikurana na changamoto zipi. Nianze na mimi mwenyewe nimewhi kusumbuliwa na boss wangu mmoja wa kiume kule mombasa nilikuwa kuwa field attachment, by then yule jamaa alikuwa front office manager, mtu wa mtaa mmoja unaitwa kibokoni, kwa wasafiri wengi wa mji wa mombasa huu ni mtaa wa mashoga wengi, nilipata wakati mgumu mpaka nikawa namkwepa mwisho nikaacha field attachment kwa sababu tofauti.
Alikuwa hana aibu nakumbuka kabla sijamjua tulienda wote nje usiku mmoja kula nyama choma na kuongea mawili matatu, wote tulikuwa hatunywi pombe lakini huyu jamaa alikuwa ameniambia atachelewa kwenda mjini ambapo ni kwake kwa hyo tukatoka na kwenda kupata nyama choma, nilikuwa na muhisi ana mwagiwa maji nikasema acha nijionee, kwa usiku ule akishindwa kunitamkia live lakini alikuwa anajilegeza.Nakumbuka nilimuuliza ulisema unataka tuongee usiku unazidi vipi?
Alinijibu vitu tofauti mwisho nika jiongeza na kumuuliza kwa kiingereza "Abdio samahani kama nitakukera naomba nikuulize kitu.. Akanijibu bila smahani kede,uliza tu.Nikamuuliza are you gay? Hakunijibu aliitikia kwa kichwa kama mtoto wa chekechea,nikajiskia vibaya sana.
Akafunguka mengi sana akaniambia niwe na siri na kadhalika nikamjibu kuwa nitampa jibu,kipindi hicho simu za mkononi kama zilikuwepo mimi sikuwa nayo it was in 1997/98.Usumbufu ulikuwa ule wa live.Huyu jamaa alikuwa shoga.
Bwana Abdio nakukumbuka sana sijui kama uko hai. Samahani mimi sio mwandishi mzuri.
🤔Niliwah kuwa na mahusiano na mwanaume anaependa kutoka na wadada wanaosagana, alianza kunishawishi kupenda wanawake wenzangu then aunganishe iwe 3some ndio anafurahia. Alitafuta hadi mwanamke wa kunifanyia hiyo michezo, yalinishinda ilibidi tuachane.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah nimecheka kinoma aiseehahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
Je, unaweza kuachika halafu uchukuliwe tena?!Niliona sitaweza. Nianze usagaji kisa fantasy za mtu. Nikapita hivi.
Sipo single nishachukuliwa.
Aish i could write a story book kwa sexscapades zako🤣🤣🤣🤣🤣🤣Niliwah kuwa na mahusiano na mwanaume anaependa kutoka na wadada wanaosagana, alianza kunishawishi kupenda wanawake wenzangu then aunganishe iwe 3some ndio anafurahia. Alitafuta hadi mwanamke wa kunifanyia hiyo michezo, yalinishinda ilibidi tuachane.