Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Mimi Facebook mashoga wananisumbua sana sijui tatizo nini?mpaka wahindi (alikuwa anaishi hapahapa tz)

Yani mmoja hivi ndio juzi juzi,,nilishangaa akawa ananisalimia sana inbox,,sasa nikawa namchukulia tu kama mshikaji,,,nashangaa juzi hapa kaja na hiyo gia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kaniuliza bro unajua sehemu wanapouza mafuta ya ''KY '' ,,daah nikashangaa sana yani nikasema kumbe huyu nae shoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah siku mdhania kabisa[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Daaah Alo nakumbuka mwaka jana jamaa mmoja alinambia nakuelewa ,daaah kumbe alikua choko eti oh cjui Nini hivi vitu vinaenda na hisia yaani nikamfiree ##daah kiukweli nliishiwa pozi , akantajia mpaka washakaji waliomtaka ila Bado akawa ananing'ang'ania ,siku Moja nimekaa nae karibu mara akaanza kinishika mashine bac mjomba ndiii ,bac tangia hapo nikaacha nae mazoe kabisa nikamuonya ukiendelea na kuniletea pigo hizi nasambaza habari bac tokea hapo akawa ananiogopa mbaya

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Matukio yako yamepooza hayashawishi hata kidogo....

Wait, mzungu alikuomba kinyeo?? [emoji15]
 
Yani shoga mpaka anakushika mashine umetulia tu..kuna kitu hakiko sawa mahali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nilwahii nikutaga kwa jamaa ambae ni afsa wa serikali,maendeleo ya jamii nilikuwa namchukulia smart Sana,lakini tuko ofisini kwake ananielekeza namna ya kuandika katiba ya kikundi gafla anaza kunishika umee na kusifia ni Mkubwa,Wala sikupata nae kazi nikamuacha achee tuu juu ya suruali mara mlango ukagongwa akaingia mfanyakazi mwezake wa kike,naisi alisi Kuna jambo halikuwa sawaa,akawa ajiongeresha yeye tuu Mimi nimetulia namuangaria tu,baada ya pale nikamtuma katibu wangu ndio afuatilie Mimi sikwenda Tena,ila badae nikasikia katibu kapiga,na wanagawana mshara wa serikali na katibu. Mashoga ni jau Sana hawa jamaa.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Mzee usikute na ww kama jamaa wa nyuma hadi ulisimamisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…