Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Mwenyewe na shangaa? Manake si wengine hapo ingechomoka ngumi.

Ngumu sana mashine kudinda kama hujatamani,mashine inasimama baada ya kutafsiri mvuto fulani kutoka kwa anaye kuvutia na ndipo unadindisha.

Ila siku hizi vijana wanatamaa sana ya hela na kuna mwanangu dereva bajaj aliniambia pale mtaani wapo watatu majamaa wana hela zao wanakamuliwa na madereva bajaj, tena wanagombaniwa.

Ila nilichoka kuna muuza kuku mmoja ana mchina wake kamgeuza kama mke wake na yule mchina anampa hela sana jamaa.Siku nyingine ana msubiriga mpaka akimaliza kuuza kuku hao wana ondoka.

Yaani wee acha,ila naamini punga hawezi kukutongoza kabla hujampa greenlight au sometimes anajua upo kwenye circle yao.Mimi kuna punga namjua miaka kibao kanipita miaka 6,watu waliomgonga ni wale walio shobokea ofa zake za bia na kuna jamaa mmoja Fundi mwashi baada ya kuona kitonga ,kaamua akae nae nyumba moja kama mume na mke na naijua couple nyingine imepanga nyumba ya mwanangu mmoja hivi wapo kama mke na mume.
Fact
 
Nakumbuka kuna siku nimeenda barbershop kurepair dread,pale salun nlikuta kunafoleni kubwa.sasa yule kinyoz akanishauri niende saluni ya kike(ipo mkabala na ile barbrshp),nlipofika nkakuta muhudumu mwanaume nikamueleza shida yangu akaanza kunihudumia...
Akaanza kusifia haruf ya perfume mara dread zako nene mara umekua adim,mwisho wa siku aliniomba namba nikampa bila kujua dhamira yake....
Alinipigia jion akiomba appointment tukutane bar...
NB:Toka muda nilikua naskia kuwa mwana ni shoga..
Tulikutana bar me nkaagza konyag kubwa na yy akachukua savanna kubwa,baada ya mtungi kupanea akanambia"MAWIDA NYIE WAVUTA BANGI NASKIA MNATABIA YA KUWAINGILIA KINYUME MA DADA POA".Nikamwambia kama tako laini nanyonya kabisa,akasema "ukininyonya mimi nakupa 100k" yan akafanya kama tuweke challenge...tulienda lodge
1.stress za kuliwa BETPAWA
2.100k
3.MAUNO ANAVOKATIKA
4.KONYAG KICHWANI
Wakuu me nilifumua tena niliuza mechi...
NB:MPAKA LEO TUNAMAHUSIANO NA HUWA NAMUUZIA BAO 1=75K
Duuh
 
Nilwahii nikutaga kwa jamaa ambae ni afsa wa serikali,maendeleo ya jamii nilikuwa namchukulia smart Sana,lakini tuko ofisini kwake ananielekeza namna ya kuandika katiba ya kikundi gafla anaza kunishika umee na kusifia ni Mkubwa,Wala sikupata nae kazi nikamuacha achee tuu juu ya suruali mara mlango ukagongwa akaingia mfanyakazi mwezake wa kike,naisi alisi Kuna jambo halikuwa sawaa,akawa ajiongeresha yeye tuu Mimi nimetulia namuangaria tu,baada ya pale nikamtuma katibu wangu ndio afuatilie Mimi sikwenda Tena,ila badae nikasikia katibu kapiga,na wanagawana mshara wa serikali na katibu. Mashoga ni jau Sana hawa jamaa.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Duuuh
 
1. Mwako 2002 nilibahatika kwenda UK kwa mwaka mmoja na nusu. Basi jioni moja nilikuwa napunga upepo kwenye bustani ya Hyde Park London, akaja mzungu mmoja akaketi jirani nami. Akanisalimia huku akijipigisha story za hapa na pale kujenga atmosphere nzuri . Alipoona mazingira yanaruhusu alibadili mada taratibu akaanza kuingiza verse za kuniomba kinyeo. Yaani jamaa alikuwa kama mwendawazimu, akanipigia magoti eti, I promise it'll be ok!! Duh, kilistuka kwa mshangao mkubwa, nikapigwa bumbuwazi. Nikuwa wima (sikumbuki hata nilisimama saa ngapi) nilisonya kwangu kisha nikajikuta nimeacha tusi kwa Kiswahili, "kumbe wewe mshenzi sana". Jamaa aliona temper yangu akainuka ghafla akisema I'm sorry huku anasema. Kweli Ulaya mashetani wamejaa tele!

2. Mwaka 2006 nilihamishiwa kikazi kwenye mojawapo wa mikoa yenye baridi kali, nikiwa bado mgeni mkubwa wangu wa kazi aliniita chumbani mwake. Nikajua nakwenda kupokea maagizo ya kazi. Alikuwa maji ya kunde ana umbo la kike, matako makubwa yamelegea akikupa mgongo utadhani mwanamke. Anapiga pafyumu mpaka kero, akiingia sehemu, basi panafurika harufu kali ya marashi, ni mtanashati hatari. Nilipoingia akanijaribisha kiti, kisha akainuka akafunga mlango. Alikuwaamefunga taulo tu, basi akatupa taulo, pumzi ikanioanda vibaya sana, moyo unaunda mpaka nasikia, nikawa tayari kwa lolote, hasira kali sana ndani yangu. Jamaa kwa upole na unyonge akajilaza kitandani kifudifudi kisha akaniambia, huwa nina matatizo ya mgongo, naomba utoe nguo uje unijalie mgongoni uwe unanisugua mgongo. Huwezi amini, hasira zote zitaisha nikabaki nimepigwa bumbuwazi, sikupiga hatua, sijui hata niseme nini. Akasema tena baada ya muda, panda kitandani basi. Duh, ndipo fahamu zikanirudia, nikamwambia naomba nikatoa na jasho kwanza nakuja sasa hivi bosi. Basi akadhani nimemwelewa akasema nisichelewe kwani hali yake mbaya.

Nilipotoka nikamwita rafiki yangu mmoja mwenyeji (class mate wangu A Level) nikamhadithia mkasa, ndipo akanitonya, huyu bosi ni shoga na kuna mkubwa mwingine alishamfanya kama mkewe. Nilichoka mwili na roho.

**Haya ni matukio ya kweli kabisa.
Sasa hukuacha kazi?
 
Kuna Demu nlikua nae,..kaka yake alikua na michezo ya kishoga..daily ananilazimisha nimkae..jamaa yupo vizuri kiuchumi but sikua na mzuka na ushenzi ule..siku moja my galfrend simu yake ilikua mbovu nkampa my iPhone 5s and ile simu ukitumia vitu vinajisevu kwenye icloud...demu kunirudishia simu nkakuta usaliti wake ,ushenzi wake wote..kulipa kisasi nkamuita kaka yake..ni gay hata family yao inajua nkamwambia nimekubali kumla choo.akafurahi sna tukapanga appointment nkakutana nae..hotel room nkamueka mikao kama Nambandua huku narecord..yupo naked nipo nimevaa Calvin Klein boxer..jamaa anataka dushe,nkazuga nkamtoroka bila Kula mzigo..then zile pics na video clips nkamtumia dada yake..haha haha haha kilichotokea..anyway jioni njema
Malizia story we itakua ulimbandua tu
 
Mimi nilitongozwa na mwanafunzi anayesoma sekondari ya ILALA KASULU KATA YA ILALA WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM MWINGINE UHURU MCHANGANYIKO MWINGINE NI MPEMBA MUUZA NGUO PALE BUGURUNI MALAPA HATA UKIENDA JIONI HII YUPO DUKA LIPO UPANDE WA KUSHOTO KWAKO KAMA UNATOKEA KARIAKOO NAMNA YA KUMFAHAMU USIKU HUPENDELEA KUKAA NJE YA DUKA NA KITI KIREFU BAADA YA KUFUNGA DUKA HUTAFUTA MABAHASHA MAENEO YA ILALA SOKONI MASHOGA NI WENGI SANA HATA SERIKALI YA TANZANIA INAPOKEA FEDHA NYINGI KWA AJILI YA KUWASAIDIA MASHOGA ILA MWIGULU NA SAMIA WANAPIGA SERIKALI YA TANZANIA IMEISAINI MKATABA KIMYAKIMYA BILA KUTANGAZA KWA WANAINCHI MAANA NI JAMBO LA AIBU
 
mwanafunzi wa form ngapi? Haw na ujasiri huo
 
Mimi sikutongozwa ila nilijichanganya kwa shoga.

Kitu kama 2012 hivi Sinza kuna club moja ilikua inaitwa sanciro,kwa sasa naona kama wamebadiri biashara haipo tena

Club ilikua ya moto sana kwa upande wa sinza na wahindi na waarabu walikua wanaipenda sana.

Siku hiyo niko na wanangu kaboom kametoka, tukaona ngoja tukajibless kupunguza machungu ya kunywa chai na mkate kwa siku mara tatu.

Tumeingia ndani,tukakaa juu gorofani,baada ya mbili tatu kichwa kikawaka basi kila ngoma ikipigwa inanoga,nikaona sio kesi ngoja nishuke chini nikacheze mziki kidogo.

Kufika chini nikaona toto afcast ya kibongo na kihindi,inakata kiuno na kunengua balaa,basi nikaisogelea tucheze wote

Ile kuishika kiuno ikatulizana,tukaendelea kucheza pale fresh,miuno kama yote,akinikumbatia mixer kunilamba shingoni.

Bada ya muda nikapanda juu ili niwapange wadau kuwa kuna toto pale naplan nisepe nae akielewa kwahiyo wao wahakikishe wanalewa sana ili pombe ijue wao watalala wapi.

Sasa zile za chuo wakiona demu mkali halafu useme wako lazima wabishe mpaka uwape ushahidi,ndio akatokea mwamba mmoja akasema yule demu hawezi ondoka na wewe usituchanganye hapa kwa hela gani mbwa wewe.tukabishana ndio jamaa akasema ngoja akamkate marks(kumthaminisha)

Nikashangaa jamaa akarudi anacheka sana,kumbe nae ashawah kumuona kabla,ndio akawambia wadau kuwa mimi nataka kula shoga,nikashtuka balaa kivipi

Akaniambia yule sio demu ni punga lile,tukajibeba wote kwenda kuhakikisha, dah kumbe kweli bana

Pale pale nikaanza kusikia kichefuchefu,nilitoka nje nikatapika sana,yani kiupepo kikipita tu nikahis harufu yake natapika na nikikumbuka nilikusisha nae lips basi natapika zaidi.hadi wadau wakacha kunicheka na kuanza kunipa huduma ya kwanza kunimwagia maji.

Tukaondoka muda huo huo na ndio ilikua mara yangu ya mwisho kwenda sanciro hadi imefungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie straight acheni kufuata gays ili mpate pesa,
Wamejaa sana mtaani, kutwaa kutaka gays wenye pesa ili wafaidike.

Gay anatongoza straight, namuona km ameishiwa vilee. Lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi sikutongozwa ila nilijichanganya kwa shoga.

Kitu kama 2012 hivi Sinza kuna club moja ilikua inaitwa sanciro,kwa sasa naona kama wamebadiri biashara haipo tena

Club ilikua ya moto sana kwa upande wa sinza na wahindi na waarabu walikua wanaipenda sana.

Siku hiyo niko na wanangu kaboom kametoka, tukaona ngoja tukajibless kupunguza machungu ya kunywa chai na mkate kwa siku mara tatu.

Tumeingia ndani,tukakaa juu gorofani,baada ya mbili tatu kichwa kikawaka basi kila ngoma ikipigwa inanoga,nikaona sio kesi ngoja nishuke chini nikacheze mziki kidogo.

Kufika chini nikaona toto afcast ya kibongo na kihindi,inakata kiuno na kunengua balaa,basi nikaisogelea tucheze wote

Ile kuishika kiuno ikatulizana,tukaendelea kucheza pale fresh,miuno kama yote,akinikumbatia mixer kunilamba shingoni.

Bada ya muda nikapanda juu ili niwapange wadau kuwa kuna toto pale naplan nisepe nae akielewa kwahiyo wao wahakikishe wanalewa sana ili pombe ijue wao watalala wapi.

Sasa zile za chuo wakiona demu mkali halafu useme wako lazima wabishe mpaka uwape ushahidi,ndio akatokea mwamba mmoja akasema yule demu hawezi ondoka na wewe usituchanganye hapa kwa hela gani mbwa wewe.tukabishana ndio jamaa akasema ngoja akamkate marks(kumthaminisha)

Nikashangaa jamaa akarudi anacheka sana,kumbe nae ashawah kumuona kabla,ndio akawambia wadau kuwa mimi nataka kula shoga,nikashtuka balaa kivipi

Akaniambia yule sio demu ni punga lile,tukajibeba wote kwenda kuhakikisha, dah kumbe kweli bana

Pale pale nikaanza kusikia kichefuchefu,nilitoka nje nikatapika sana,yani kiupepo kikipita tu nikahis harufu yake natapika na nikikumbuka nilikusisha nae lips basi natapika zaidi.hadi wadau wakacha kunicheka na kuanza kunipa huduma ya kwanza kunimwagia maji.

Tukaondoka muda huo huo na ndio ilikua mara yangu ya mwisho kwenda sanciro hadi imefungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi mbavu zinaumaa.
 
Back
Top Bottom