Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
 
U

Jamani nimecheka kama mazur eti kumbe bado sealed jaman dunia hiiiiii
 
Hahahahahahahaha
 
Kwani akimpa kuna shida gani? Halafu msiwe mna kariri. Wanawake wachache sana wanakojozwa kwa kuingizwa uume pekee. Wanawake wanakojozwa kwa aina nyingi. Halafu wewe unauliza wanatumia nini kama hawana uume, kwani wewe una umri gani mwenzetu? Tuanzie hapo
Atakuwa anataka akajaribu labda
 
Ni njia moja wapo ya kumpunguza speed na kutahadharisha wenye watoto wadogo wawe nae makini asijekuwafanyia mchezo mchafu.

Nadhani hata ni ww huwezi ruhusu watoto wako wakacheze mazingira ya mtu wa aina hii.
Ukizungumza hayo upate kujua na sababu za kijana uyo ni nini mpaka anatamani au anashiriki ushoga....
 
Hata pale Matema/C Park kinondoni B kuna wasagaji.
Nakumbuka nilikuwa nainuka kwenda msalani, ghafla mdada kavaa dera ananifuata nyuma.
Kufika msalani nae kasimama kwenye sinki nje....nilivyotoka akaanza kunitongoza kabisa.
Na aka-offer kuwa nikiondoka nae atanipa laki.
Nikajisemea laki kwa mtu asie na uume, haina hasara....
Mwisho....ila laki yake nilichukua.
ulisagwa?
 
.
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,Kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo.

Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa alipotokewa kwa mara ya kwanza na kama alikubali au alikataa alikurana na changamoto zipi. Nianze na mimi mwenyewe nimewhi kusumbuliwa na boss wangu mmoja wa kiume kule mombasa nilikuwa kuwa field attachment, by then yule jamaa alikuwa front office manager, mtu wa mtaa mmoja unaitwa kibokoni, kwa wasafiri wengi wa mji wa mombasa huu ni mtaa wa mashoga wengi, nilipata wakati mgumu mpaka nikawa namkwepa mwisho nikaacha field attachment kwa sababu tofauti.

Alikuwa hana aibu nakumbuka kabla sijamjua tulienda wote nje usiku mmoja kula nyama choma na kuongea mawili matatu, wote tulikuwa hatunywi pombe lakini huyu jamaa alikuwa ameniambia atachelewa kwenda mjini ambapo ni kwake kwa hyo tukatoka na kwenda kupata nyama choma, nilikuwa na muhisi ana mwagiwa maji nikasema acha nijionee, kwa usiku ule akishindwa kunitamkia live lakini alikuwa anajilegeza.Nakumbuka nilimuuliza ulisema unataka tuongee usiku unazidi vipi?

Alinijibu vitu tofauti mwisho nika jiongeza na kumuuliza kwa kiingereza "Abdio samahani kama nitakukera naomba nikuulize kitu.. Akanijibu bila smahani kede,uliza tu.Nikamuuliza are you gay? Hakunijibu aliitikia kwa kichwa kama mtoto wa chekechea,nikajiskia vibaya sana.

Akafunguka mengi sana akaniambia niwe na siri na kadhalika nikamjibu kuwa nitampa jibu,kipindi hicho simu za mkononi kama zilikuwepo mimi sikuwa nayo it was in 1997/98.Usumbufu ulikuwa ule wa live.Huyu jamaa alikuwa shoga.

Bwana Abdio nakukumbuka sana sijui kama uko hai. Samahani mimi sio mwandishi mzuri.
 
hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
nimecheka sana ila cio mazurii🤣 kitonga cio nzuri wazee...
 
ila nimejifunza kitu,hawa ma gays wana penda sana wanaume ambao wapo soft soft sana, i meean wanaume ambao wanajiweka sana kidada dada ....ndio matamanio yao.Solution apa act as a real man usiwe soft ukizingua zingua kwel,ukikasirika kasirika kwel.cio una mind alafu unapotezea kama mtoto wa kike.
 
Kuna wataalamu ili wakupe utajiri ni lazima umshawishi dada mpya awe msagaji au mwanaume mpya awe shoga.

Yani cha muhimu kama wewe ni mwanamke, inatakiwa ufanye juu chini umpate mwanamke mwenzako ambaye hajawahi kusagana umsage.... Pia kama wewe ni mwanaume inatakiwa ufanye lolote liwezekanalo uweze kumlala mwanaume mwenzako ambaye hajawahi kuguswa ndogo.

Mashart mengine ni wewe mhusika unayeutaka utajiri ukubali kuwa shoga... Yani angalau kila mwaka upigwe pump na mwanaume mpya
 
hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
@Mtana[emoji23][emoji23]
 
Kuna wataalamu ili wakupe utajiri ni lazima umshawishi dada mpya awe msagaji au mwanaume mpya awe shoga.

Yani cha muhimu kama wewe ni mwanamke, inatakiwa ufanye juu chini umpate mwanamke mwenzako ambaye hajawahi kusagana umsage.... Pia kama wewe ni mwanaume inatakiwa ufanye lolote liwezekanalo uweze kumlala mwanaume mwenzako ambaye hajawahi kuguswa ndogo.

Mashart mengine ni wewe mhusika unayeutaka utajiri ukubali kuwa shoga... Yani angalau kila mwaka upigwe pump na mwanaume mpya
Kuna mwana ana mawe kinoma sana ila mishe zake ndo hizo kulala wanaume na madem pia anao, so nahisi atakua moja wao
 
Back
Top Bottom