Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

😲😲😲😲iseeeee...alafu kwann wengi wa hawa matom boy ni wachagaaalafu wengine ni wazuri tu unaweza watafuna hata bila chumvi...
 
Siku moja nilikuwa nafanya mazoezi nikakutana na jamaa mmoja nae alikuwa anafanya mazoezi,badae tukafika sehem kama jamaa tu wa kawaida,tukawa tunabadilishana mawazo,ila kiukweli jamaa alinishawishi vp mpaka nikajikuta sikimbii tena na kuanza kupiga Stori ndo sikuelewa,Ila badae kadri tulivyokuwa tunatembea,jamaa akawa anazidi kunisogelea na badae alikuja akaanza kunigusa sehem mkunyenge upo,badae ikabidi afunguke kuwa anataka nikamkune,nikamwambia mi siwezi na hata kama tukienda, mkunyenge hautasimama kbs utagoma katu katu,nikamuaga kistaarabu nikaendelea na jogging yangu,Ila nilihisi kabisa jamaa ame spoil siku yangu
Mkasa mwingine nilipataga demu mmoja hv wa kihindi kwenye magazet ya advertising dar,anaitwa Mehjabin,sasa kumbe ye lengo lake alikuwa anamtafutia uncle wake mtu wa kumkuna,alikuwa shoga,basi akawa ananiambia kuwa uncle wake Yuko poa na ana kila kitu Ila anataka mtu wa kumkuna kwa kipindi cha miezi miwili atakapokuwa hapa bongo, nikamwambia sifanyagi ujinga huo,hyo ndio mikasa miwili ya mashoga

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii n Series kabisa pole mkuu
 
Facebook na Badoo nishawai tongozwa na mashoga wakisifia eti nimependa weusi wako unanivutia ,nikiona ivyo namblock kbsa staki huo upuuzi....
Badoo kuna sehem ya kublock?[emoji848]
 
hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
Duh!!!, Hatari sana aisee.
 
Hata pale Matema/C Park kinondoni B kuna wasagaji.
Nakumbuka nilikuwa nainuka kwenda msalani, ghafla mdada kavaa dera ananifuata nyuma.
Kufika msalani nae kasimama kwenye sinki nje....nilivyotoka akaanza kunitongoza kabisa.
Na aka-offer kuwa nikiondoka nae atanipa laki.
Nikajisemea laki kwa mtu asie na uume, haina hasara....
Mwisho....ila laki yake nilichukua.
Mwisho wa siku ilikuwaje??.
 
Badoo kuna sehem ya kublock?[emoji848]
Badoo ndio ipo
Screenshot_20210315-211158.jpg

Soma hiyo hapo chini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We dada wewe! Kwanini unapita pita huku!?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom