Nimesoma mjadala mzima nimekutana na maswali na hoja ambazo watu hawajajibiwa, tatizo ukiwajibu utasikia we nawe shoga.
Kuna waliouliza mbona wanajitokeza waliobokoa tu sio waliobokolewa? Mimi nahisi kubokolewa ni jambo la aibu kwahiyo ngumu kutokeza, ni jambo la wanawake tu linaweza kusemwa kama ni kusaga au kusagwa
Kuna wengine wameuliza sana mbona wao hawasumbuliwi iweje wengine wasumbuliwe?
Ukweli ni kwamba huwezi kusumbuliwa kama hujaingia anga zao, hapa nizungumzie upande wa mitandaoni, mimi tangu 2012 nasumbuliwa na hawa watu lakini hawakuanza tu ni mimi ndio nilianza kulike page zao wakati huo mikoani ukiambiwa ushoga huelewi unatamani uone wakojekoje, au ukimfollow mmoja wao halafu hata kwa bahati mbaya ukacomment ndio wanakujua sasa bora ukae kimya.
Kwahiyo tunaokumbana na hawa watu tuliyaanza wenyewe, auunafungua page unatumia jina la kingono watakuja mpaka wake za watu
Mimi binafsi nilishindwa kufukua mtaro wa mwanaume, naweza nikakubaliana na sound zake akili zikikaa sawa naona hata mashine haitasimama, natoka nduki.,...mitaro nayoionea ni ya wanawake, kwa kuwa wanataka wao