Jamaa alipiga analeta story za kitoto sanaunamchukua shoga unampeleka hotel???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alipiga analeta story za kitoto sanaunamchukua shoga unampeleka hotel???
Sisi wengine hao ma gay hawawezi kutuzoea kabisa2015 niliwahi tokewa na guy mtanashati na kunieleza juu ya kunitaka kuwa mpenz wake kwa maana ya kuwa me niwe namla mzgo.
Kitu ambacho kwangu kilinipa changamoto na kmtukana huyo kaka. But haikuishia hapo baada ya huyo zikawa zinaingia namba tofaut kutoka kwa wavulana(wanaume) kunitaka me niwe bwana wao.
Ilifika kipindi nikawa najishangaa sana nikahisi pengne nina majini ya kutakwa na wanaume wenzang kitu ambacho kili nitesa sana. Ilinilazimu kushirikisha baadhi ya marfik zang juu ya hilo swala na nikajikuta nimepata elimu kupitia watu hao.
2017 alitokea mpangaji aliekuwa karibu na mazingira ya nyumbani, akanizoea ghfra na kuwa mkalimu sana kwangu kitu, nilihisi kuwa nimepata rfk mpya na mwenye utu, kwan kwa mda mfupi alionesha kinijali hata baadhi ya shida zangu akawa ananisaidia nikimueleza.
Siku moja aliomba tutoke kwenda club kwa kigezo cha kutaka reflesh mind , ndio siku pekee aliyoweza pata ujasiri wa kunitamkia juu ya kuwa yeye ni nan na alkuwa anahitaji nini kwangu.
Wakt huo tayari ninaelimu juu ya viumbe hao hivyo haikunipa shida nilchkua jukumu la kumpanga kuwa leo haitowezekana kwa maana nitam,,, f*c siku nyingne.
Baada ya kurud home nilikata mazoa na kimya kimya mpaka sasa.
Huyo wanamla mkuu km ndio anavtabia hvyo sema anafcha kwakosijawaga mchangiaji wa huu uzi naona unatrend kiaina since 2018, binafsi nishasumbuliwa na limbwa fulani hivi lizee limoja hivi nikaliblock na kulitukana smmmh hii kitu ni distigust kwa kweli, yaan lize linalia lia kuniomba eti linataka nilibandue nyaa.
kuna scenario ukikaa vibaya unaeza pata hasira yaaan dume mwenzangu kabisa.
kuna best yangu mmoja yan home boy wangu kabisa since day moko toka moshi, namjua tulisoma college na chuo kimoja hapa bongo, asee kuna muda nilitakaga nimwambie akae vizuri maana anamuonekano wa kike kuanzia mormphology yake mpaka kakaa yake ila ni men na hana ushoga wakutoa nyaa.
navojua kalelewa na madada zake mno tena, anachoniboa anakaa na mademu mno na zile kauli zake za 'jaman shogaa sijakuona siku nyingi yaan shost we acha tu mwenzako nkajua ushaolewa, mara hivi viatu vimekupendeza na icho kigauni jamani ila zile high heels zako zinanoga ' huu usenge niliuchukia kwa msela.
ila tumepotezana sana tena sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imebidi nicheke kama maziri lohhahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
kama analiwa itaniuma sana mkuu maana he was a good man to me, ila najua anapitia kuitwa itwa na huwa yupo serious ndio kinachomsaidia.Huyo wanamla mkuu km ndio anavtabia hvyo sema anafcha kwako
Acha kuyumbisha mambo we sema tu yuko mawingu sio kwamba hujuiKuna mtangazaji mmoja wa televisheni, almaarufu sana, yule kijana ndio mambo zake kusumbua sumbua wakulungwa wampakue...
Kuna wakati alikuwa akitumika kwa mzee Machache, baadaye Tibisiii, sijui kwa sasa yupo bado Tibisiii au alisepa kituo kingine...
Aaaahhh moyo wa mtu kichaka mzeeesijawaga mchangiaji wa huu uzi naona unatrend kiaina since 2018, binafsi nishasumbuliwa na limbwa fulani hivi lizee limoja hivi nikaliblock na kulitukana smmmh hii kitu ni distigust kwa kweli, yaan lize linalia lia kuniomba eti linataka nilibandue nyaa.
kuna scenario ukikaa vibaya unaeza pata hasira yaaan dume mwenzangu kabisa.
kuna best yangu mmoja yan home boy wangu kabisa since day moko toka moshi, namjua tulisoma college na chuo kimoja hapa bongo, asee kuna muda nilitakaga nimwambie akae vizuri maana anamuonekano wa kike kuanzia mormphology yake mpaka kakaa yake ila ni men na hana ushoga wakutoa nyaa.
navojua kalelewa na madada zake mno tena, anachoniboa anakaa na mademu mno na zile kauli zake za 'jaman shogaa sijakuona siku nyingi yaan shost we acha tu mwenzako nkajua ushaolewa, mara hivi viatu vimekupendeza na icho kigauni jamani ila zile high heels zako zinanoga ' huu usenge niliuchukia kwa msela.
ila tumepotezana sana tena sana.
Dahhahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
[emoji23][emoji23][emoji23]hatari sanaHata pale Matema/C Park kinondoni B kuna wasagaji.
Nakumbuka nilikuwa nainuka kwenda msalani, ghafla mdada kavaa dera ananifuata nyuma.
Kufika msalani nae kasimama kwenye sinki nje....nilivyotoka akaanza kunitongoza kabisa.
Na aka-offer kuwa nikiondoka nae atanipa laki.
Nikajisemea laki kwa mtu asie na uume, haina hasara....
Mwisho....ila laki yake nilichukua.
Kwa kweli sina uhakika alipo sasa, si mtazamaji wa televisheni za kwetu...Acha kuyumbisha mambo we sema tu yuko mawingu sio kwamba hujui
Aaaaahhh mkuu kwaiyo wewe ni mwendo wa cnn aljazeera boomerangKwa kweli sina uhakika alipo sasa, si mtazamaji wa televisheni za kwetu...
Madame B jimama la nguvu! Nakukubali sana mtoto wa Dar es Salaam!Hata pale Matema/C Park kinondoni B kuna wasagaji.
Nakumbuka nilikuwa nainuka kwenda msalani, ghafla mdada kavaa dera ananifuata nyuma.
Kufika msalani nae kasimama kwenye sinki nje....nilivyotoka akaanza kunitongoza kabisa.
Na aka-offer kuwa nikiondoka nae atanipa laki.
Nikajisemea laki kwa mtu asie na uume, haina hasara....
Mwisho....ila laki yake nilichukua.
entertainments mkuu, sports n.kAaaaahhh mkuu kwaiyo wewe ni mwendo wa cnn aljazeera boomerang
Unajua kunawengine ni mashoga smart mkiwa nae n kidume kabisa.... ila unakuta analiwa kisiri...!!! Huyu jamaa yko anza kuchunguza chart zake za fb, whtssp, insta na telegram na magroup anayochat nayo kwenye hzo social media!!!kama analiwa itaniuma sana mkuu maana he was a good man to me, ila najua anapitia kuitwa itwa na huwa yupo serious ndio kinachomsaidia.
mkuu hizi dawa nilishazitilia shaka kitambo mno, huyu jamaa yangu tumepotezana muda na sijapata juhudi za kumtafuta muda mrefu tu. ila mkuu anabody na ngozi ya kike, napata shaka naye sana.Unajua kunawengine ni mashoga smart mkiwa nae n kidume kabisa.... ila unakuta analiwa kisiri...!!! Huyu jamaa yko anza kuchunguza chart zake za fb, whtssp, insta na telegram na magroup anayochat nayo kwenye hzo social media!!!
Niko najiuliza kwann haya mambo ya watoto wa kiume kuwa machoko yamekuwa mengne kipind hiki cha miaka cha sera za dawa za uzaz wa mpango... kwasbb kwa elimu yangu ndogo hizi dawa huongeza kiwango cha hormone kwa wamama mwilini...ninachojiuliza ni je hawa wamama wanatumia hizi dawa baada ya kupata ujauzito zp mfumo wake wa hormonal imbalance hauwezi kuaffect kizazi kinachozaliwa?
Natamani nifanye study ya hawa machoko na wasagaji na ku compere past historia ya reproductive health ya mama zao...!!!
Kuna huyu bwana anaitwa sigmund freud huyu bwana ana theories zake ya psychoanalysis anaeleze kwamba toka mtt anapozaliwa hadi anapokuwa mtu mzima kuna stage za makuzi (zipo kat ya 5 au 6) inabid azipitie akiruka hata moja bac hiyo stage atakuja kuifanya ukubwani...Naomba kuuliza..
Shule za boarding zinahusiana vipi na mwanume kubadilika kuwa shoga?????
Maana kuna mtoto wa miaka8 yupo darasa la3 nataka kumpeleka boarding wakuu ila baada ya kupitia huu uzi naanza kuwa na hofu.
Hatari na nusu[emoji23][emoji23][emoji23]hatari sana