Basi na mimi wacha nichangie kidogo hii mada. Na declare kabisa kwamba i have a friend who is gay, na kiukweli wala hauwezi kunotice hata kidogo sababu ukimuangalia ni gentlemen na anapenda sana story za madem, kwa hiyo hata mimi nilikuja kugundua baadae sana tena ilikua kama zali tu, alinipa simu yake nitumie na sababu ananiamini sana alikua na uhakika kua sitakagua simu yake (sababu anajua huwa sikagui simu za watu kabisa) ila ghafla PAA!! Sms ikaingia kutoka kwa mtu alomsave Eddy, so nikajua ni someone i know nikaopen nikasoma ili nireply kua jamaa hayupo kaniachia simu, dah kusoma sms ni ya mapenzi like "i miss you so much babe, and last time you were so nice on bed and i like ur a....s nimekumiss so uje home au this weekend twende Bagamoyo and bra bra bra......." na nikashtuka nikasema huyu nani anaandika this kind of sms, nikamcheck profile ni jamaa tu na ninamfahamu aliwahi nambia ni friend wake na jamaa ana mke na watoto na ni main accountant kwenye very big social fund cmpany (now ziko mbili NSSF na PSSF so mojawapo) na mkewe pia yuko vizuri sana tu,
Ikabidi nirudi chart za juu nikaenda hadi instagram walikokutana nikakuta yani relation yao ni ya almost 3+ years na mshkaji wangu ndo alimtongoza jamaa ili awe basha ake na aliyumia nguvu sana sana sana, na inaonesha jamaa alikua hajawahi kumgonga gay yoyote na alimtukana sana matusi mwanzo ila mshkaji wangu alikaza hadi akamnasa jamaa hahaha na naona alipomgonga tu akanogewa mazima, na ni kama jamaa kamuoa mshkaji wangu yani na anamwita mshkaji wangu wife na mshkaji anamwita hubby na majina mengine ya mapenzi na hata gari analotembelea mshkaji kumbe alinunuiwa na jamaa na kodi anapoishi analipiwa, me nilikua nashangaa jamaa dah yuko vizuri , lakini ikiangalia kazi anayofanya sio ya kufanya hayo yote kwa ghafla tu hata kama ni 3 years imepita, so nilishangaa sana. ( HAPA NAOMBA NIKAZIE, KWA MAELEZO YAKE NI KUWA, GAYS WANAPENDA SANA STRAIGHT MENS, NA HASA WAUME ZA WATU NDO HASA HUWA WAHANGA, NA WALE WANAOJIFANYA WOMANIZER AU PLAYBOYS NDO GAYS HUWAPENDA SANA NA WANAWAPENDA SABABU NDIO AMBAO HUTUNZA SANA SIRI HII NA HUWA WANAKUA ROMANTIC, SIJUI IF IS TRUE OR NOT ILA NDO HIVO)
Jamaa aliporudi nikamchana yani , aliishiwa nguvu na alilia sana akasema nakuomba usimwambie yoyote yule na akanieleza ukweli wote kuwa tangu azaliwe hana feelings kabisa na wanawake, ana felings na same gender tu na amejitahidi kujiweka kama gentlemen sababu tu hiyo hali sio kwamba anaipenda ila it is just there, na pia hataki kuiaibisha familia yke siku ikijulikana, na mama ake hapendi sana gays na anachukia na alishawaambia siku akigundua mtoto wake yoyote ni gay atamuua siku hiyo hiyo hata kwa sumu, na aliwambia kwa kumaanisha kabisa so anaogopa na pia anaogopa kupoteza marafiki alonao na reputation alojijengea isiharibike, but ana boyfriend for 3 years na shatembea na wanaume wengi tu pia, in short alihadisia mengi na siku nikipata muda taweka mada hapa ili mjue kuindani haya mambo na mjue jinsi ya kuwakinga watoto wenu, ndugu zenu na rafiki zenu, in short nieshindwa kumbadilisha kabisa na nimekubaliana na hali yake na namuheshimu kwa maamuzi yake na mapenzi yake siingilii na sababu anatuheshimu anafanya mabo yake sirini so is ok na nachukulia poa tu, na washkaji wengine hata hawajui bado, ila sababu he is my best friend.
La kujifunza hapa niseme tu kidogo, if hutaki na unachukia hayo mambo, usjije jiroga ukajaribu kusex na same sex gender hata siku moja, sababu ni kama pepo i dont know what, yani utaona uke wa mwanamke ni hakuna kitu na hauna radha. Usije jifanya unajaribu then uache, hutaacha na ndio itakua moja kwa moja. Nina mengi ya kuelezea ila kwa leo niishie hapa. Si muandishi mzuri ila mtakua mmeelewa angalau