Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Mi mara kibao mashoga yananihitaji ila nawakazia kila nikifikiria joto la mule sitaki kuibadili dushe yangu rangi ikawa nyekundu
Hadi picha ya kinyeo chake kanitumia aloohh
 
Kwahiyo kitu ikakaza kabisa
Aisee dah
Yaani kono gumu la mwamba likakusisimua
Kuna mengi siyajui duniani kumbe
ndugu hakuna mtu laini kama shoga yaani mikono yao sjui wanapaka nn inakua milainiiiii yaani nakuambia ni milaini kupitiliza asikuambie mtu
 
Kwahiyo kitu ikakaza kabisa
Aisee dah
Yaani kono gumu la mwamba likakusisimua
Kuna mengi siyajui duniani kumbe
Mwenyewe na shangaa? Manake si wengine hapo ingechomoka ngumi.

Ngumu sana mashine kudinda kama hujatamani,mashine inasimama baada ya kutafsiri mvuto fulani kutoka kwa anaye kuvutia na ndipo unadindisha.

Ila siku hizi vijana wanatamaa sana ya hela na kuna mwanangu dereva bajaj aliniambia pale mtaani wapo watatu majamaa wana hela zao wanakamuliwa na madereva bajaj, tena wanagombaniwa.

Ila nilichoka kuna muuza kuku mmoja ana mchina wake kamgeuza kama mke wake na yule mchina anampa hela sana jamaa.Siku nyingine ana msubiriga mpaka akimaliza kuuza kuku hao wana ondoka.

Yaani wee acha,ila naamini punga hawezi kukutongoza kabla hujampa greenlight au sometimes anajua upo kwenye circle yao.Mimi kuna punga namjua miaka kibao kanipita miaka 6,watu waliomgonga ni wale walio shobokea ofa zake za bia na kuna jamaa mmoja Fundi mwashi baada ya kuona kitonga ,kaamua akae nae nyumba moja kama mume na mke na naijua couple nyingine imepanga nyumba ya mwanangu mmoja hivi wapo kama mke na mume.
 
Niliwah kuwa na mahusiano na mwanaume anaependa kutoka na wadada wanaosagana, alianza kunishawishi kupenda wanawake wenzangu then aunganishe iwe 3some ndio anafurahia. Alitafuta hadi mwanamke wa kunifanyia hiyo michezo, yalinishinda ilibidi tuachane.
Daaah!
 
1. Mwako 2002 nilibahatika kwenda UK kwa mwaka mmoja na nusu. Basi jioni moja nilikuwa napunga upepo kwenye bustani ya Hyde Park London, akaja mzungu mmoja akaketi jirani nami. Akanisalimia huku akijipigisha story za hapa na pale kujenga atmosphere nzuri . Alipoona mazingira yanaruhusu alibadili mada taratibu akaanza kuingiza verse za kuniomba kinyeo. Yaani jamaa alikuwa kama mwendawazimu, akanipigia magoti eti, I promise it'll be ok!! Duh, kilistuka kwa mshangao mkubwa, nikapigwa bumbuwazi. Nikuwa wima (sikumbuki hata nilisimama saa ngapi) nilisonya kwangu kisha nikajikuta nimeacha tusi kwa Kiswahili, "kumbe wewe mshenzi sana". Jamaa aliona temper yangu akainuka ghafla akisema I'm sorry huku anasema. Kweli Ulaya mashetani wamejaa tele!
Huyo mzungu alikuwa anataka mpige interracial gay sex
 
hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
Unyama Sana kwamba jamaa alitaka kumchakata dogo au alitaka dogo akamchakate

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Siku nyuma hapo niko najiandaa na paper kesho yake nikafanye nikashangaa message kwenye simu yangu ya ajabu ajabu. Nikaipuuzia Nikaendelea kusukuma slides ikaja nyingine Nikaona nifungue aiseee!!! nilichokiona nilistaajabu yaaani namba ngeni imenitumia message ya kujitambulisha ye ni mfirwaji anauliza kama mimi ni mfiraji.

Nikaona aah hii namba ngoja niichunguze ikawa natuma kama muamala ili lije jina aisee baada ya kuliona jina nikaona hili fb halikosi na kweli nikalikuta aisee afu sura ikaja ya jirani yangu kabisa aisee sikuamini nikachanganyikiwa kabisa plus hasira yani mtu namheshimu analeta pigo za kichoko ikabidi nimchimbe biti moja matata sana hakuskia bado anaendelea na usumbufu dawa yake inachemka
 
Afu baadhi ya Watanzania ni watu wa ajabu sana, hivi kuna la ajabu katika suala la mwanamke kuliwa mata.ko?
Ni sunna kama ilivyo kwenda chumvini.
Tena ukikutana na mwanaume anayejua anachofanya, very fantastic.
Na kama hataingiza nyuma...nitamruhusu aingize kidole.
Hakuna la ajabu.
Wengi sana wanafanyiwa huu mchezo, ila ukikutana nae katikati ya mada, atajifanya mlokole....hanyonywi kisimmi wala kufirw.a
Mscheeeeeeeeeeeeewwwwwwwww!!!!!!!!

Nimekuquote wewe ila ujumbe umeenda kwa wengine.
Mchana mwema.

Nimekuelewa madam.

#YNWA
 
Kuna dume moja liliniomba nikalifanye, nilikimbia balaa kwa kushangaa inakuaje dume linajigeuza jike na kuomba nilitie? Haya mambo si ya kawaida kwa maeneo mengi
 
Siku nyuma hapo niko najiandaa na paper kesho yake nikafanye nikashangaa message kwenye simu yangu ya ajabu ajabu. Nikaipuuzia Nikaendelea kusukuma slides ikaja nyingine Nikaona nifungue aiseee!!! nilichokiona nilistaajabu yaaani namba ngeni imenitumia message ya kujitambulisha ye ni mfirwaji anauliza kama mimi ni mfiraji. nikaona aah hii namba ngoja niichunguze ikawa natuma kama muamala ili lije jina aisee baada ya kuliona jina nikaona hili fb halikosi na kweli nikalikuta aisee afu sura ikaja ya jirani yangu kabisa aisee sikuamini nikachanganyikiwa kabisa plus hasira yani mtu namheshimu analeta pigo za kichoko ikabidi nimchimbe biti moja matata sana hakuskia bado anaendelea na usumbufu dawa yake inachemka
Huwa hayasikiaga hata uyatukane vipi ndio kama unayachochea..chamsingi piga tofari.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nilikuwa second year,hostel mabibo naenda zangu kupanda shuttle nakakutana na mdada mzuri anaongea ki Arusha,akanishika mamboo?mie Tena poa!Akasema nimependa nywele zako umesukwa vizuri naomba nipeleke kwa aliyekusuka,nikamwambia sawa,tukabadilishana number tukawa tumekubaliana jmosi nimpeleke.Kweli nikampeleka ilikuwa temeke mi nikaondoka zangu,alivyorudi hostel akanipigia akisisitiza niende nimuone na yeye alivyopendeza,nikaenda room kwake block F,Basi ndio ukawa mwanzo wa kuzoena,yeye alikuwa anafanya masters kwa hiyo nikawa namchukulia Kama dada,kwa siku napigiwa simu hata Mara nne yaani alivutaa Hadi nikamzoea,ananunua vyakula utasikia we katoto kazuri njoo tule....na mie nikaona nimepata kitonga wacha nitelemke nacho were kilichofuata Sasa...
Siku hiyo jmosi akaniambia njoo room tuangalie movie,nikaenda nikamkuta kaweka series moja Ina Mambo ya kusaganasana yupo anakunywa wine,Basi nilivyofika ananishauri kunywa wine kidogo,roho ikasita tu nikamwambia baadae naenda fellowship siwezi kwenda na pombe,mi nikajilaza kitandani huku naangalia movie nimepunguza nguo so unajua Mambo ya kiwanafunzi,Basi yeye Mara asimame acheze muziki mi najua kalewa,Mara acheke kimalayamalaya kafanya vituko pale na yeye kaja kitandani anajifanya anasinzia kaanza kunipapasa,mie Tena TOBA!we vipi ?ananiambia usiogope Bwana Ni vitu vya kawaida nataka nikupe Raha,nikaishiwa nguvu nikamwambia hapana siwezi fanya hivyo kwanza boyfriend wangu atagundua hapo nilikuwa decent girl😁...kanisumbua nikakataa nikamwambia ngoja niende fellowship nikirudi nitakuja nikaondoka,Yangu siku Ile nilimuona Kama kibaka mkubwa,nikakataa mguu room kwake akaanza nitumia meseji kabisa eti ananipenda Sana🙄🙄🙄......Yupo humo mitandaoni Ni motivation speaker kwa Sasa,ana you tube channel,naishiaga kumwangalia na kusema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Nilikuwa second year,hostel mabibo naenda zangu kupanda shuttle nakakutana na mdada mzuri anaongea ki Arusha,akanishika mamboo?mie Tena poa!Akasema nimependa nywele zako umesukwa vizuri naomba nipeleke kwa aliyekusuka,nikamwambia sawa,tukabadilishana number tukawa tumekubaliana jmosi nimpeleke.Kweli nikampeleka ilikuwa temeke mi nikaondoka zangu,alivyorudi hostel akanipigia akisisitiza niende nimuone na yeye alivyopendeza,nikaenda room kwake block F,Basi ndio ukawa mwanzo wa kuzoena,yeye alikuwa anafanya masters kwa hiyo nikawa namchukulia Kama dada,kwa siku napigiwa simu hata Mara nne yaani alivutaa Hadi nikamzoea,ananunua vyakula utasikia we katoto kazuri njoo tule....na mie nikaona nimepata kitonga wacha nitelemke nacho were kilichofuata Sasa...
Siku hiyo jmosi akaniambia njoo room tuangalie movie,nikaenda nikamkuta kaweka series moja Ina Mambo ya kusaganasana yupo anakunywa wine,Basi nilivyofika ananishauri kunywa wine kidogo,roho ikasita tu nikamwambia baadae naenda fellowship siwezi kwenda na pombe,mi nikajilaza kitandani huku naangalia movie nimepunguza nguo so unajua Mambo ya kiwanafunzi,Basi yeye Mara asimame acheze muziki mi najua kalewa,Mara acheke kimalayamalaya kafanya vituko pale na yeye kaja kitandani anajifanya anasinzia kaanza kunipapasa,mie Tena TOBA!we vipi ?ananiambia usiogope Bwana Ni vitu vya kawaida nataka nikupe Raha,nikaishiwa nguvu nikamwambia hapana siwezi fanya hivyo kwanza boyfriend wangu atagundua hapo nilikuwa decent girl[emoji16]...kanisumbua nikakataa nikamwambia ngoja niende fellowship nikirudi nitakuja nikaondoka,Yangu siku Ile nilimuona Kama kibaka mkubwa,nikakataa mguu room kwake akaanza nitumia meseji kabisa eti ananipenda Sana[emoji849][emoji849][emoji849]......Yupo humo mitandaoni Ni motivation speaker kwa Sasa,ana you tube channel,naishiaga kumwangalia na kusema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Code ya YouTube please! Muhuni nataka kufanya jambo langu
 
Back
Top Bottom