Wanawake, baada ya ugomvi na mumeo kanuna yupo kitandani unamuamsha vipi akale chakula?

Wanawake, baada ya ugomvi na mumeo kanuna yupo kitandani unamuamsha vipi akale chakula?

Hapo ndipo Mungu alipo muumba mwanamke na nguvu ya asili.😊

Kwa mwanamke mwerevu atamtoa Mr kwa bed na Mr atakula hata na kusaza kisha ataenda kuoga na atalazwa kwa kupewa show ya kibabe with a lot of I'm sorry dad and ect:

Hakunaga mkate mgumu kwenye chai mzee.😝

Hapo hua tukiamka asubuhi baada ya morning glory, hua tunakua na ile some tough sound like "nimekusamehe lakini usirudie tena kunivuruga hasa nikiwa nina mawazo na uchovu wa kazi"🤣
 
Hapo ndipo Mungu alipo muumba mwanamke na nguvu ya asili...😊
Kwa mwanamke mwerevu atamtoa Mr kwa bed na Mr atakula hata na kusaza kisha ataenda kuoga na atalazwa kwa kupewa show ya kibabe with a lot of I'm sorry dad and ect:
Hakunaga mkate mgumu kwenye chai mzee....😝
Hapo hua tukiamka asubuhi baada ya morning glory, hua tunakua na ile some tough sound like "nimekusamehe lakini usirudie tena kunivuriga hasa nikiwa nina mawazo na uchovu wa kazi"....🤣
Shukuru Mungu huyo mwanamke umempata wewe pekeako 😌
 
Hapa ni nyuma ya key bord mkuu.
Kiuhalisia....
Kila mwanamke anaempenda mwanaume wake, atafanya kila awezalo ili kumaliza ugomvi wa ndani...😊
Inategemea chanzo cha ugomvi, njaa ya usiku mmoja haiui atalala njaa ama aamke usiku anyate jikoni napo nitakificha ili siku nyingine ajifunze, katika tabia sipendi ni mwanaume kususa,, namuonaga amekuwa ka demu tu
 
anapendwa ndio, lakini asilete ujinga, yaani hatakula chochote io siku coz n kwenda kulala kwenye chumba cha wageni ,nafunga mlango na funguo naimeza kabisa 😐
Kama wewe......😝
Ndio hua mnakua wakwanza kuomba msamaha hata kama hauna kosa ili mradi tu hutaki makelele za ndani..🤣
 
Back
Top Bottom