Wanawake, baada ya ugomvi na mumeo kanuna yupo kitandani unamuamsha vipi akale chakula?

Wewe sina shaka, hushindwi kumshindisha mtoto wa watu njaa na kumlaza njaa, nasema hushindwi😅😅
Sijamshindisha, kaamua mwenyewe kutokula. Mimi ni nani jamani niingilie maamuzi binafsi ya mtu🤷‍♀️🤷‍♀️
 
Mtu kaamua kupunguza uzito ya nini kumsumbua!! 😅😅😅
 
Sijamshindisha, kaamua mwenyewe kutokula. Mimi ni nani jamani niingilie maamuzi binafsi ya mtu🤷‍♀️🤷‍♀️
Mnakuwa na ubabe flani hivi, nyie mnatakiwa wanaume wakorofi. Otherwise mtatesa sana watu...
 
Mbona comments za wanaume ndo nyingi kuliko za wanawake mhhh 🤔

Au wanetu ndo mshajisahau kama mnatumia maparody na siyo ID zenu?
 
Tengeneza juicy ya tende korosho na karanga na nazi. Ficha vyakula vyote. Weka juice mezani. Kalale utafute nguvu za kuja kuombwa msamaha.
 
Umeolewa xixi ? . I'm sorry but I have to ask this umeolewa ?
 
Back
Top Bottom