Mimi sipiki kabisa,,kwaio waroho ngoja waje
Hapa ni nyuma ya key bord mkuu.Utalala njaa tu,
Shukuru Mungu huyo mwanamke umempata wewe pekeako πHapo ndipo Mungu alipo muumba mwanamke na nguvu ya asili...π
Kwa mwanamke mwerevu atamtoa Mr kwa bed na Mr atakula hata na kusaza kisha ataenda kuoga na atalazwa kwa kupewa show ya kibabe with a lot of I'm sorry dad and ect:
Hakunaga mkate mgumu kwenye chai mzee....π
Hapo hua tukiamka asubuhi baada ya morning glory, hua tunakua na ile some tough sound like "nimekusamehe lakini usirudie tena kunivuriga hasa nikiwa nina mawazo na uchovu wa kazi"....π€£
Mimi ni team kataa ndoa...ππππShukuru Mungu huyo mwanamke umempata wewe pekeako π
anapendwa ndio, lakini asilete ujinga, yaani hatakula chochote io siku coz n kwenda kulala kwenye chumba cha wageni ,nafunga mlango na funguo naimeza kabisa πHapa ni nyuma ya key bord mkuu.
Kiuhalisia....
Kila mwanamke anaempenda mwanaume wake, atafanya kila awezalo ili kumaliza ugomvi wa ndani...π
One in a millions....πLazima nimkaribishe
Kama siku zote
Siwezi mlaza na vitu mbili at once
Njaa na hasira
Inategemea chanzo cha ugomvi, njaa ya usiku mmoja haiui atalala njaa ama aamke usiku anyate jikoni napo nitakificha ili siku nyingine ajifunze, katika tabia sipendi ni mwanaume kususa,, namuonaga amekuwa ka demu tuHapa ni nyuma ya key bord mkuu.
Kiuhalisia....
Kila mwanamke anaempenda mwanaume wake, atafanya kila awezalo ili kumaliza ugomvi wa ndani...π
Mi siendi room ya wageni nabanana hapo hapo labda yeye ndo anipishe mimi,anapendwa ndio, lakini asilete ujinga, yaani hatakula chochote io siku coz n kwenda kulala kwenye chumba cha wageni ,nafunga mlango na funguo naimeza kabisa π
Kama wewe......πanapendwa ndio, lakini asilete ujinga, yaani hatakula chochote io siku coz n kwenda kulala kwenye chumba cha wageni ,nafunga mlango na funguo naimeza kabisa π
Tena ule wa fofofo, π€£π€£π€£Binti za farao ukisusa kula, anakula mwenyewe na kulala usingizi mnono
Wewe umewowa na una familia boraπMimi ni team kataa ndoa...ππππ
Hahaha πKama wewe......π
Ndio hua mnakua wakwanza kuomba msamaha hata kama hauna kosa ili mradi tu hutaki makelele za ndani..π€£
Ewaaa..mwanamme gani anasusia chakula? Yaani anapikiwa msosi kwa upendo wote halafu anasusa? Alale na njaa yake π€£Tena ule wa fofofo, π€£π€£π€£