Wanawake, baada ya ugomvi na mumeo kanuna yupo kitandani unamuamsha vipi akale chakula?

Hapo hua tukiamka asubuhi baada ya morning glory, hua tunakua na ile some tough sound like "nimekusamehe lakini usirudie tena kunivuruga hasa nikiwa nina mawazo na uchovu wa kazi"....🀣
Mkuu umegusa mule mule. Ile tough sound lakini moyoni 😁😁
 
Na we una mpenzi/mke/mama watoto πŸ˜‚

Kweli mapenzi hayana baunsa!
 
Mwanaume akiwa anahasira huwa anakuwa na nguvu Sana plus pumzi
Mi binafsi ndo namtumia hapo anile kwanza ndo ale chakula
Hahahaa kuna ka feeling fulani hivi ka prey mwanamke akiwa ana unyonge. Sasa wengine hatukujaliwa maneno mengi ni ile mmezenguana anatoa vimachozi, una mvuta shoo shoo mnamalizana. Ugomvi kwishaaa

Kumbe huwa mnapenda eeeh.
 
Ina mvuto kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…