Sijamshindisha, kaamua mwenyewe kutokula. Mimi ni nani jamani niingilie maamuzi binafsi ya mtu🤷♀️🤷♀️Wewe sina shaka, hushindwi kumshindisha mtoto wa watu njaa na kumlaza njaa, nasema hushindwi😅😅
NDIO kwa msisitizoHivi kwa ground mambo yako namna hii kweli?
Mtu kaamua kupunguza uzito ya nini kumsumbua!! 😅😅😅Sijamshindisha, kaamua mwenyewe kutokula. Mimi ni nani jamani niingilie maamuzi binafsi ya mtu🤷♀️🤷♀️
Kwakweli hicho kinakuwa ni kuherehere🤣Mtu kaamua kupunguza uzito ya nini kumsumbua!! 😅😅😅
Watu makatili sana asee😅😅NDIO kwa msisitizo
Mnakuwa na ubabe flani hivi, nyie mnatakiwa wanaume wakorofi. Otherwise mtatesa sana watu...Sijamshindisha, kaamua mwenyewe kutokula. Mimi ni nani jamani niingilie maamuzi binafsi ya mtu🤷♀️🤷♀️
Huh!! Hapo anateswa au kaamua kujitesa!!Mnakuwa na ubabe flani hivi, nyie mnatakiwa wanaume wakorofi. Otherwise mtatesa sana watu...
Bembeleza wewe, hujui nguvu ya Ke eeenh!!Huh!! Hapo anateswa au kaamua kujitesa!!
yaani unamkunja mwizi kimyakimya utakuta ni mikono tu na mashine zinashughulikaKitombo cha wapenzi waliosusiana kitamu sana
huo mtihani mbona mdogo tu ndo maana wanaume wengi wanakula hotelini utakuta asubuhi anaagiza supu kuku na chapti mbiliHana njaa huyo. Alale, akiamka atajua kama na chai anakunywa au bado ananuna.
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😅 utaniuwa mbavu dada inaelekea unauzoefu na hii minunoWe junia mwambie babako aje kula, au ukitaka na wewe ubaki huko huko.
Kabisa mkuuyaani unamkunja mwizi kimyakimya utakuta ni mikono tu na mashine zinashughulika
Heeeh jamani!!Bembeleza wewe, hujui nguvu ya Ke eeenh!!
Sawa.huo mtihani mbona mdogo tu ndo maana wanaume wengi wanakula hotelini utakuta asubuhi anaagiza supu kuku na chapti mbili
Umeolewa xixi ? . I'm sorry but I have to ask this umeolewa ?Tengeneza juicy ya tende korosho na karanga na nazi. Ficha vyakula vyote. Weka juice mezani. Kalale utafute nguvu za kuja kuombwa msamaha.