Wanawake bado mnavaa gagulo (Underskirt) kwenye nguo za kuonesha?

Wanawake bado mnavaa gagulo (Underskirt) kwenye nguo za kuonesha?

Tamati

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
1,085
Reaction score
1,960
Kipindi nilipokuwa nasoma shule ya msingi kuona msichana akiwa amevaa gagulo ilikuwa jambo la kawaida kwani zilikuwa zimezoeleka kuvaliwa.

Hata wanawake wengine mtaa walikuwa wanavaa gagulo kama kawaida, kwa sisi wanaume ilikuwa ukiona gagulo ya mwanamke bahati mbaya hasa aina ya rangi ilikuwa tunapata msisimko fulani kama tunavyopata siku hizi tukiona chupi.

Screenshot_2018-03-09-06-01-30.jpg

Screenshot_2018-03-09-06-02-04.jpg

Screenshot_2018-03-09-06-02-20.jpg


Hivi hizi gagulo bado zipo siku hizi za rangi gani inayokuvutia zaidi na unayopenda kuivaa?
 
Kuna wanawake wenye mvuto dunia ya leo tako made in china sura made by vipodozi
wewe bado unaulizia virinda au shmizi
Hawa wanawake waleo watakwambia zilipendwa,
Hi [emoji1321]
 
Kipindi nilipokuwa nasoma shule ya msingi kuona msichana akiwa amevaa underwear ilikuwa jambo la kawaida kwani zilikuwa zimezoeleka kuvaliwa.

Hata wanawake wengine mtaa walikuwa wanavaa underwear kama kawaida, kwa sisi wanaume ilikuwa ukiona underwear ya mwanamke accidentally hasa aina ya rangi ilikuwa tunapata msisimko fulani kama tunavyopata siku hizi tukiona chupi.
View attachment 708518
View attachment 708519
View attachment 708520
Ivi hizi underwear bado zipo siku hizi?
Ya rangi gani inayokuvutia zaidi na unayopenda kuivaa?


SIO UNDERWEAR NI SHUMIZI
 
Hiyo tight yenyewe sivaiii hayo magagulo ntayavaliaa wapi?kama sio kutiana tu joto hapa mjini ....kwanza sijuagi faida yake lol
 
Hapana binafsi siyavai kama nguo ni nyepesi basi ni bora nishonee kitambaa kwa ndani kuliko kuvaa hayo
 
Rangi nyeusi nini hiyo?

Kama nimekuelewa hapana bana mie najitambua upande huo siwezi vaa kitu cheusi labda niwe na sababu maalum la sivyo hapana napenda vile ambavyo vitaonyesha usafi wangu.

Ila nimejikuta nacheka duuh sasa mie nikiwa hivyo wadogo zangu na watu wanaonizunguka niliowazidi umri watakuwaje lazima miee ndio mfano wao.
 
Back
Top Bottom