Wanawake bado mnavaa gagulo (Underskirt) kwenye nguo za kuonesha?

Wanawake bado mnavaa gagulo (Underskirt) kwenye nguo za kuonesha?

Sisi tulikuwa tunaziita Gagulo, duuu sidhani kama wanawake wa siku hizi kama wanazivaa hizo
 
Kipindi nilipokuwa nasoma shule ya msingi kuona msichana akiwa amevaa underwear ilikuwa jambo la kawaida kwani zilikuwa zimezoeleka kuvaliwa.

Hata wanawake wengine mtaa walikuwa wanavaa underwear kama kawaida, kwa sisi wanaume ilikuwa ukiona underwear ya mwanamke accidentally hasa aina ya rangi ilikuwa tunapata msisimko fulani kama tunavyopata siku hizi tukiona chupi.
View attachment 708518
View attachment 708519
View attachment 708520
Ivi hizi underwear bado zipo siku hizi?
Ya rangi gani inayokuvutia zaidi na unayopenda kuivaa?
Underskirt
 
yap, ndio mimi, nakumbuka kitambo nilikuwa nampenda sana huyo jamaa kwa masifa yake kwa maduu halafu anawakosa
 
Back
Top Bottom