Wanawake bado mnavaa gagulo (Underskirt) kwenye nguo za kuonesha?

Wanawake bado mnavaa gagulo (Underskirt) kwenye nguo za kuonesha?

Kipindi nilipokuwa nasoma shule ya msingi kuona msichana akiwa amevaa gagulo ilikuwa jambo la kawaida kwani zilikuwa zimezoeleka kuvaliwa.

Hata wanawake wengine mtaa walikuwa wanavaa gagulo kama kawaida, kwa sisi wanaume ilikuwa ukiona gagulo ya mwanamke bahati mbaya hasa aina ya rangi ilikuwa tunapata msisimko fulani kama tunavyopata siku hizi tukiona chupi.

View attachment 708518
View attachment 708519
View attachment 708520

Hivi hizi gagulo bado zipo siku hizi za rangi gani inayokuvutia zaidi na unayopenda kuivaa?
Mzee baba ukimwona bint kavaa nishtue nije nitoe mahali kabsa sahiz ni mwendo wa kyup nje nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fashion ya kuvaa Gagulo imepitwa na wakati. Siku hizi hata Skin Tight hatuvai..... Pichu yenyewe kuvaa siku moja moja za kuvuja.
 
Back
Top Bottom