Wanawake bhana! ukiwa nae karibu usipomtongoza anaanza kukudharau kukutangazia wewe ni hanithi , Ukimtongoza basi na urafiki ndo unakufa mazima

Aikoo.. Punani makes the world go around .. Never underestimate power of pussy ๐Ÿ˜ป๐Ÿ˜บ๐Ÿ˜ป๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Daah kumbe we dada kiazi hivi!!????
 
wanawake wa wapi hao ambao ukiwatongoza wanakununia, wanawake wa nyakati hizi ukichelewa kutongoza anakutongoza yeye. Mimi nilishaambiwa naomba nizae na wewe na mtu anajua nimeoa na sio tu kujua na mke naye anamfahamu
Hapo ana uhakika WA security maana si mwenzake anafanikiwa kwa hio ana ka wivu fulani
 
wanawake wa wapi hao ambao ukiwatongoza wanakununia, wanawake wa nyakati hizi ukichelewa kutongoza anakutongoza yeye. Mimi nilishaambiwa naomba nizae na wewe na mtu anajua nimeoa na sio tu kujua na mke naye anamfahamu
๐Ÿ˜‚ ke wengi wa siku hizi ni nusu wehu.
 
Natafuta Ajira mpe ushauri huyu jamaa.

It seems kuna vitu hajajua kuhusu dada zetu
 
Sisi kila tunapo
 
Mara ya mwisho kutongoza ilikuwa 2018 maana ilikuwa nipo kama sigara nyota ila sasa naomba namba tu kifuatacho ni burudani kwa wote mwanaume ndio anapoteza kwenye mapenzi yaani nikupe hela ukihitaji halafu nikubembeleze may be naanza kuzeeka sasa demu akileta maringo au akizingua piga chini.
 
Cha msingi tongoza kuliko kupiga bati Ile pia inaamsha Nuru usoni kwake
Siku nzuri mtongoze mwanamke j5 au alhamis huwa ngumu kukataa
 
usitongoze kwa maneno , mtie kuminananeni mle kimasihara mwache kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ