Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Tuishi nao kwa akiliNa ukimtongoza akizingua na ukala bati,wanasema wanaume wa siku hizi hawajui hata kushawishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuishi nao kwa akiliNa ukimtongoza akizingua na ukala bati,wanasema wanaume wa siku hizi hawajui hata kushawishi
😂😂😂😂😂😂Daah kumbe we dada kiazi hivi!!????Aikoo.. Punani makes the world go around .. Never underestimate power of pussy 😻😺😻😏😏😏
Siwezi nitaishi vipi mbali na damu yangu? Usingizi sitaweza kupata kwakweliManeno yenu hayo 😅😅mnakuja kuwaacha watu Single Mother 😜😜😜
Hapo ana uhakika WA security maana si mwenzake anafanikiwa kwa hio ana ka wivu fulaniwanawake wa wapi hao ambao ukiwatongoza wanakununia, wanawake wa nyakati hizi ukichelewa kutongoza anakutongoza yeye. Mimi nilishaambiwa naomba nizae na wewe na mtu anajua nimeoa na sio tu kujua na mke naye anamfahamu
😂 ke wengi wa siku hizi ni nusu wehu.wanawake wa wapi hao ambao ukiwatongoza wanakununia, wanawake wa nyakati hizi ukichelewa kutongoza anakutongoza yeye. Mimi nilishaambiwa naomba nizae na wewe na mtu anajua nimeoa na sio tu kujua na mke naye anamfahamu
Natafuta Ajira mpe ushauri huyu jamaa.Yaani hamueleweki ..
Ndo maana mtu anaona bora akutongoze tu na ukaribu ufe..
Kuliko kuanza kuwaambia wanawake wenzio..''aha kwani yule mwanaume basi ..hamna kitu pale "
Kumbe mwenzio hajakutongoza kaamua kukupuuza tu..
Wanaosema hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume wako sahihi..
Ukiwa nae karibu tabu, usipomtongoza tabu.
Sisi kila tunapoYaani hamueleweki ..
Ndo maana mtu anaona bora akutongoze tu na ukaribu ufe..
Kuliko kuanza kuwaambia wanawake wenzio..''aha kwani yule mwanaume basi ..hamna kitu pale "
Kumbe mwenzio hajakutongoza kaamua kukupuuza tu..
Wanaosema hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume wako sahihi..
Ukiwa nae karibu tabu, usipomtongoza tabu.
😂😂😂😂nilibak kukodoa machoo tui😂 ke wengi wa siku hizi ni nusu wehu.
Kuna ke wana ujasiri wa hali ya juu sana.😂😂😂😂nilibak kukodoa machoo tui