Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamini mkuuMkiwa wadogo unaona dingi ni mnoko, ngoja sasa majukumu yawe kwako.
Ndo utajua.
Huyo ndio chaguo lako. Mvumilie, bebeaneni mizigo hadi siku ya mwishoKivipi mkuu mahuja?
Mwanaume unasusa?Ndizi zimeletwa mezani zinanuka Moshi mm nasusa kula!!!!
HahahahahaDingi alikuwa anahakikisha matumizi ya unga wa ugali yanatumiwa ipasavyo....bora vyote viishe lakini sio unga wa ugali....
Kumbe wewe Yna2 mtoto wa juzi juzi tu?Wakati TV zinaingia kwa kiwango cha kila mtu kununua enzi za Mwinyi mwishoni na Mkapa mwanzoni ,Mimi nilishaanza kujitegemea,though nilikuwa nasoma A level!Hahahahaha
Umenikumbusha Baba angu akiwa hana pesa akikuta mnaangalia Tv anazima..dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliosema muishi na sisi kwa akili hawakukoseaNdio hapo sasa wanawake tunaishi nao kwa akili😀😀😀
Duuh! We nae muhengaKumbe wewe Yna2 mtoto wa juzi juzi tu?Wakati TV zinaingia kwa kiwango cha kila mtu kununua enzi za Mwinyi mwishoni na Mkapa mwanzoni ,Mimi nilishaanza kujitegemea,though nilikuwa nasoma A level!
Haaa haaa ,yaani ukisusa ndio unakuwa umelikoroga,baada ya mimi kujinyamazia ,mbona tukaendelea kuongea kawaida!Waliosema muishi na sisi kwa akili hawakukosea
Mwanaume kususa ni kasumba mbaya sana...na huyo hajakutana na wanawake visusisusi angekula mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndivyo Wanawake tunavyopenda..kunyenyekewaHaaa haaa ,yaani ukisusa ndio unakuwa umelikoroga,baada ya mimi kujinyamazia ,mbona tukaendelea kuongea kawaida!
Ndio mimi ni muhenga,lakini ng'ombe hazeeki maini,Yna2😀naijua hii nchi toka enzi za Nyerere TANU,kuingia CCM,vita vya Kagera navikumbuka,kina baba walilazimishwa kuchimba mahandaki.Mpangaji wetu mmoja alipelekwa vitani,kurudi akawa anatusimulia.Kina mama ndio walikuwa wakipika kwenye sherehe hizo za mashujaa,walikuwa wakileta masinia ya wali nyama nyumbani.Mkapa ni wa 1995 tu,Huo mwaka 1995nilishamaliza Form 6 ,na nilipata kazi porini ,ngorongoro& Serengeti wakati nasubiri matokeo .Nilishapiga pesa zangu za kutosha,dola nikaanza kujitegemea hata baada ya kwenda further studies na mpaka kumaliza,sijawahi rudi home kuomba msaada mpaka Leo,zaidi mimi ndio hupeleka chochote kwao ili wajikimu.After all my parents are old,Dad is 86,mummy 73.
Unamsusia mke wako hujawahi kuskia??
Duh..shikamoo mkuuNdio mimi ni muhenga,lakini ng'ombe hazeeki maini,Yna2😀naijua hii nchi toka enzi za Nyerere TANU,kuingia CCM,vita vya Kagera navikumbuka,kina baba walilazimishwa kuchimba mahandaki.Mpangaji wetu mmoja alipelekwa vitani,kurudi akawa anatusimulia.Kina mama ndio walikuwa wakipika kwenye sherehe hizo za mashujaa,walikuwa wakileta masinia ya wali nyama nyumbani.Mkapa ni wa 1995 tu,Huo mwaka 1995nilishamaliza Form 6 ,na nilipata kazi porini ,ngorongoro& Serengeti wakati nasubiri matokeo .Nilishapiga pesa zangu za kutosha,dola nikaanza kujitegemea hata baada ya kwenda further studies na mpaka kumaliza,sijawahi rudi home kuomba msaada mpaka Leo,zaidi mimi ndio hupeleka chochote kwao ili wajikimu.After all my parents are old,Dad is 86,mummy 73.
Ndio kwanza nasikia kwakoUnamsusia mke wako hujawahi kuskia??
Itabidi nimlete kwako madam Mwajuma ili umfunde😂😂😂Muache apikie kwenye kuni maana sufuria anasugua yeye. Hivi hao wanawake mnawatoaga wapi? Anajua kutafuta pesa kweli huyo? Maana angejua thamani yake. Nilitegemea yeye awe wakwanza kusimamia hayo matumizi ya umeme.
Sent using Jamii Forums mobile app