Wanawake Bhana!

Wanawake Bhana!

Hahahahaha

Umenikumbusha Baba angu akiwa hana pesa akikuta mnaangalia Tv anazima..dah

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe Yna2 mtoto wa juzi juzi tu?Wakati TV zinaingia kwa kiwango cha kila mtu kununua enzi za Mwinyi mwishoni na Mkapa mwanzoni ,Mimi nilishaanza kujitegemea,though nilikuwa nasoma A level!
 
Duuh! We nae muhenga

Izo enzi za mkapa Mimi nipo chekechea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliosema muishi na sisi kwa akili hawakukosea

Mwanaume kususa ni kasumba mbaya sana...na huyo hajakutana na wanawake visusisusi angekula mbona

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haaa ,yaani ukisusa ndio unakuwa umelikoroga,baada ya mimi kujinyamazia ,mbona tukaendelea kuongea kawaida!
 
Muache apikie kwenye kuni maana sufuria anasugua yeye. Hivi hao wanawake mnawatoaga wapi? Anajua kutafuta pesa kweli huyo? Maana angejua thamani yake. Nilitegemea yeye awe wakwanza kusimamia hayo matumizi ya umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh! We nae muhenga

Izo enzi za mkapa Mimi nipo chekechea

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mimi ni muhenga,lakini ng'ombe hazeeki maini,Yna2😀naijua hii nchi toka enzi za Nyerere TANU,kuingia CCM,vita vya Kagera navikumbuka,kina baba walilazimishwa kuchimba mahandaki.Mpangaji wetu mmoja alipelekwa vitani,kurudi akawa anatusimulia.Kina mama ndio walikuwa wakipika kwenye sherehe hizo za mashujaa,walikuwa wakileta masinia ya wali nyama nyumbani.Mkapa ni wa 1995 tu,Huo mwaka 1995nilishamaliza Form 6 ,na nilipata kazi porini ,ngorongoro& Serengeti wakati nasubiri matokeo .Nilishapiga pesa zangu za kutosha,dola nikaanza kujitegemea hata baada ya kwenda further studies na mpaka kumaliza,sijawahi rudi home kuomba msaada mpaka Leo,zaidi mimi ndio hupeleka chochote kwao ili wajikimu.After all my parents are old,Dad is 86,mummy 73.
 
Duh..shikamoo mkuu

Hiyo 95 nina miaka minne

Miaka 86 ya baba ako hata bibi na babu yangu wadogo hapo

Heshima yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muache apikie kwenye kuni maana sufuria anasugua yeye. Hivi hao wanawake mnawatoaga wapi? Anajua kutafuta pesa kweli huyo? Maana angejua thamani yake. Nilitegemea yeye awe wakwanza kusimamia hayo matumizi ya umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi nimlete kwako madam Mwajuma ili umfunde😂😂😂
 
Back
Top Bottom