Wanawake bikra bado wapo!

Wanawake bikra bado wapo!

Yes, muwe mnaweka namba zao, huenda wakakutana na wenza wao humu.
Kwa binti wa 34 sina wasiwasi maana anajitambua. Ila sometimes shit happen, anaweza kukutana na lishenzi likamuonja ikawa amepoteza thamani yake na likamkimbia. Hivyo tahadhari muhimu. Imagine umejitunza kwa miaka yote hiyo unakutana na tapeli anakuvurugia.
 
Kama upo tayari kusubiri hadi siku ya ndoa. Aidha ukihitaji uthibitisho yupo tayari kwenda kwa Gynaecologist wakike akathibitisha. Maana wa kiume mh!
Hapo kwenye kusubiri hadi siku ya ndoa ni mtihani mgumu kwa wanaume wengi nikiwemo mimi hapa.
 
Wanawake na wasicha walio tolewa bikra zao chini ya miaka 20 huwa wanajitetea hakuna mwanamke bikra mwenye umri zaidi ya miaka 15.
Sasa , wasichana na wanawake wanaojitunza, jiheshimu na kumjua Mungu wapo, ndio hawa unawaona kwenye ndoa!View attachment 3701388
Wapo wengi tu wala sio ajabu. Ila kama mtu anashinda na kulala kitambaa cheupe na sinza hawezi amini.
 
Zipo kibao, unatakiwa kuwa na ujuzi wa kujua tu, mimi nikiangalia mdada najua tu hapa ipo hapa hakuna, hapa mnato, hapa bwawa, mimi kwa mwezi huwa sikosi moja au mbili nazitindua tena Wafanyakazi wa sekta binafsi na umma, mwenye kuhitaji huo ujuzi anicheki analipia na Ada kidogo.
Chai
 
Fear of unkwonwn , Ni bikra na mume alitoa ushuhuda, angalia podcast yao.
Pili, kwanini unakimbia kuwa si bikra, au kwakuwa wewe wa kwako hakuwa bikra?
Mimi nimebahatika kumkuta nayo, labda kwakuwa nilioa zamani

Ila kwa trend ya mabinti wengi wa sasa, sio rahisi kuwakuta ni bikra

Tena ajabu katika umri mdogo kutolewa

Hiyo podcast sijaona, maana hujaambatisha na andiko lako
 
Back
Top Bottom