Wanawake bwana ni shida kweli

Kwa mfano kuna mwanachuo mmoja amejifafanua kua hayuko poa kiuchumi hivyo nimuwezeshe angalau breakfast for severe days. Cha ajabu nasikia eti anasema mm ni mlugaluga najipendekeza kwake.
severe days!!! si hadi atamaliza chuo sasa?
 
Ushauri mzuri sana aiseeh
 
na siku hz tunaitwa majina mengi mara kibamia, mara kilemutuz, kaz ipo.
 
Kwanini umenitenga lakini?
Huu mzigo uliumaliza?
Ahahahaaaaaa sijakutenga banah tunapishana tuu.


Niumalize wapi, vilinishinda nikaamua kwenda kulamba ugoro tuu, mja asili haachi asili yake. Mie vyangu vikaratasi wanikatie huko huko counter hapo mezani wailete ikiwa kwenye glass [emoji485], sasa hizo za kidhungu na mimi wapi na wapi? [emoji4] [emoji4]
 

Basi naona imependeza zaidi...


Mimi bado niponipo kwanza
 
sasa hapo nimekuelewa !huez saidia na mtu ukamwita boya hata akukosee kinamna gan !mekumiss fundi mkuu
Nawamiss mno nyie mafundi wangu wawili, nadhani niliwapania mno! nimeamini mkamia maji hanywi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ipo siku ..........
 
Pumbavu sitoi mtonyo mbaka nigegede papuchi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…