Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
severe days!!! si hadi atamaliza chuo sasa?Kwa mfano kuna mwanachuo mmoja amejifafanua kua hayuko poa kiuchumi hivyo nimuwezeshe angalau breakfast for severe days. Cha ajabu nasikia eti anasema mm ni mlugaluga najipendekeza kwake.