Wanawake bwana ni shida kweli

Wanawake bwana ni shida kweli

kama ulivyobemendwa wew
Nani ambemende babu?
green-police-2-1.jpg
 
Ahahahaaaaaa sijakutenga banah tunapishana tuu.


Niumalize wapi, vilinishinda nikaamua kwenda kulamba ugoro tuu, mja asili haachi asili yake. Mie vyangu vikaratasi wanikatie huko huko counter hapo mezani wailete ikiwa kwenye glass [emoji485], sasa hizo za kidhungu na mimi wapi na wapi? [emoji4] [emoji4]
Ugoro [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Hawa viumbe waache tu mkuu, maana hawana kiwango cha kurighika kabisa, ndio maana wanadhamini ma plastic kwenye vidole vyao badala ya kucha walizopewa na muumba wao, wanadhamini katani kuliko nywele zao, nk

Hivyo we waache tu hawa hutawaweza mkuu
 
Back
Top Bottom