MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
wabejaKila lakher mkuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wabejaKila lakher mkuuu
Angalia utabemenda watoto we mama....asantee
kama ulivyobemendwa wewAngalia utabemenda watoto we mama....
Huenda ni kweli unajipendekeza maana hata jina lako linaonyesha unapenda kujipendekeza.Kwa mfano kuna mwanachuo mmoja amejifafanua kua hayuko poa kiuchumi hivyo nimuwezeshe angalau breakfast for severe days. Cha ajabu nasikia eti anasema mm ni mlugaluga najipendekeza kwake.
Ugoro [emoji87] [emoji87] [emoji87]Ahahahaaaaaa sijakutenga banah tunapishana tuu.
Niumalize wapi, vilinishinda nikaamua kwenda kulamba ugoro tuu, mja asili haachi asili yake. Mie vyangu vikaratasi wanikatie huko huko counter hapo mezani wailete ikiwa kwenye glass [emoji485], sasa hizo za kidhungu na mimi wapi na wapi? [emoji4] [emoji4]
BabyUgoro [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] live long MBITIYAZAkama ulivyobemendwa wew
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] live long MBITIYAZA
bila shaka unatongozwa sasaHAHAHA pasua kichwa hawa viumbe. bora nimeshavuka hiyo stage ya kutongozana.
usiniambie unatumia ugoro?? kisirisiri eeBaby
Halafu baadae tunaanza kulalamika.Majini tunayafuga wenyewee