Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Sehemu pekee ambayo unaweza ukamtembelea mwanaume wako na ukatoka salama bila kuguswa popote Ni hospitalini akiwa mgonjwa.
Tofauti na hapo, aisee hutotoka mzima mzima😂
Uzi tayari.
Tofauti na hapo, aisee hutotoka mzima mzima😂
Uzi tayari.