Wanawake darasa la saba washamba/ vihiyo wa mapenzi?

Theory yako sidhani kama inatoa association yoyote ya hayo mambo mawili. Kwanza hiyo ni observation yako wewe ambayo inaweza kuwa imechangiwa zaidi na fikra na uwezo wako wa kufikiri. Kama wewe ni braza men umekutana na binti hajasoma halafu unamletea mambo yako ya kitozi lazima utamuona mshamba. Kwa taarifa yako tunao wake zetu hawajasoma na wako safi mno kuliko hao waliosoma. Ndoa nyingi za wasomi zimevunjika kuliko za hao darasa la saba, hapo unasemaje? ushauri wangu kwako ni kuwa mtizamo wako sio lazima uapply kwa watu wengine, pole
 
Nakubaliana na wote waliokupinga kwa kukuelimisha, ila naomba niongezee kidogo tu,
ACHA DHARAU KWA WATU WOTE ULIOWAZIDI ELIMU/ AU HICHO KIPATO CHAKO AU KWA NAMNA YOYOTE ILE.
ACHA KUJIKWEZA,
ELIMU ULIYONAYO ITUMIE KUWAELIMISHA WASIOELIMIKA NA SIYO KUWADHARAU,
MAKOSA KTK MAPENZI HUFANYWA NA MTU YOYOTE HAIJALISHI AMESOMA AU HAJASOMA.

TATIZO KUBWA ULILONALO NI DHARAU KWA WASIOSOMA, ACHA KABISA NDUGU,
WEWE KAMA UMEPATA FURSA YA KUSOMA NA UMEITUMIA VIZURI BASI MWAMBIE MUNGU ASANTE, NA JITAHIDI KUONESHA UMUHIMU NA UTHAMANI WA ELIMU YAKO KWA KUELIMISHA NA SIYO KUTOA DHARAU, HAITAKUSAIDIA SANA BALI ITAKUSHUSHIA HADHI MBELE YA JAMII YAKO.
 
look @ that! hiv we kuandika hii mada ndo umeona usomi?am sorry! if you dont have time to waste with chicks za darasa la sabau should not have a time to talk about them...otherwise u like them.mapenzi kizunguzungu mzeee!
 
Jamani Presida amejieleza vizuri nikamuelewa, yeye ana tatizo na expression capacity anapokuwa nayo mpenzi wake aliyeishia darasa la saba jambo ambalo mimi naona ni obvious kwani kiwango chake cha kujieleza kitakuwa chini kutokana na kiwango cha elimu pamoja na exposurealiyoipata kiakili lakini kumbuka Mungu ni mwema huyo wa darasa la saba pamoja na upungufu huo lazima atakuwa na qualities ambazo utazi-miss kwa huyo mwenye elimu unayoikubali.
 
not true, lover hawatakiwi kupishana education level sana, matatizo yake ndo mtaonana hamjui mapenz.
Mapenzi sio kitanda 2, hata kuchangia mawazo. Xaxa gred 7 na digrii there z nthng 2 share
 

Twaibu
 

Oooohh....!!! I am deeply sorry, my apology to u all, u said it
absolutely right, kama ni Elimu, uelewa wa mambo, mali Mungu provided all to me, very, very few supported me for my inner feelings about relationship, most argued i broke std 7 dignity, humanity, this is Easter nisameheni, but ukweli naujua mwenyewe, i will never express again hapa, i don't need cheap popularity, i will remain how i am on my feelings, let's live a real natural life not artificial one,
Bright future days ahead nawatakia.
 
Nadhani hujui maana halisi ya ukihiyo.Ungejua usingewaita mabinti wa darasa la saba wasiojua mapenzi vihiyo.Infact mambo uliyoandika ni upuuzi mtupu, huo ndio ukihiyo wenyewe.Kutojua mapenzi sio ukihiyo,it's lack of knowledge, kwani wewe unajua kila kitu.
 
Tuwaulize wale wenye wake/mahawara/GF walioishia darasa la saba....wao wanasemaje? Ila mimi nasema big NO! Kuna wanawake wengi tu wamesoma sana na wanaweza kuku disappoint on bed. Unataka kuniambia kuwa wanawake waliosoma ndio marvelous on bed? Otherwise, unaleta changamoto tu hapa, unataka kupata mawazo ya wana JF! Umeshajaribu watu wa pwani wanaoshinda kwenye mabaibui na wengi wao ni STDVII?
 
Asante sana kaka zetu wenye upako wa HEKIMA ya kuona mbali tofauti na Mr. Pesident. Hii mada kama umei-frame kwa akili zako siyo za kuazima, naomba mwambie Mungu wako kwamba umekosa juu ya mbingu na nchi, umewadhalilisha mama, dada, bibi na bintizo waliokuwezesha kuja duniani. Ebu imagine mama yako asingekuwa mshamba akajanjaruka na kutoa ujauzito wako nafikiri wewe ungesingekuwa hapo ulipo.

Hofu yangu kubwa ni kwamba "you are cheap for charcoal dealers", unakimbizana na hao wa darasa la saba kutokana na kukataliwa na wenye elimu zao. Pia sishangai sana nikikuita wa "kukataliwa" na hao unaowadharau wa STD seven.

Laani ulimi wako kukurusu kutoa mada ya kishetani kama hiii, at the same time nakuombea mwenyezi Mungu akutie nguvu.

Hekima yako ni kuomba msamaha kwetu dada, mama zako.

Nawasilisha
 
<br />
<br />


Nakusoma Sana Mr.President,kitu unachokizungumzia watu wengi hawawezi kukikubali na hasa kwa jinsi ulivyowasilisha Wazo lako!!
Mimi ninaamini kwamba Ndege wenye Manyoya yanayofanana Huruka Pamoja,NAKUBALIANA NA WEWE KWAMBA UPO UWEZEKANO MKAWA WAWILI LKN UKAJISIKIA UPO PEKE YAKO!!

Mr.President,Pengine ingekuwa Vyema zaidi ungezungumzi Ufahamu/Elimu ya Mtu zaidi kuliko kiwango cha Formal Education na hasa kuangalia Cheti! Cha muhimu zaidi ni Uwezo wa Mtu KUFIKIRI INDEPENDENTLY NA HAPO NDIYO TUNAPIMA IQ YA MTU!!

Formal Education inao uzoefu wa Kuongeza Uwezo wa Mtu wa Kufikiri ingawa kuna Watu ambao ni Impervious to Education,On the other hand kuna watu ambao ni Intelligent Genetically!!

Kuwa Muangalifu,Mtu anaweza kuwa Ame-graduate kwenye cheti lakini Upstairs ni Zero Brain,In a nutshell,usimhukumu mtu kwa kuumuliza mtu kiwango chake cha Elimu,Kaa naye,zungumza naye mambo,tengeneza changamoto za kuupima uwezo wake wa kufikiri then AMUA!!
It wud be stereotyping concluding that every std 7 Leaver has a low level of intelligence,sio wote!!

Cha Muhimu Mhe.Rais Chukua mtu wa Rika lako kiakili siyo kielimu,Hii ni Hekima ya Mungu mwenyewe,Imeandikwa "Je Wawili wanaweza kwenda Pamoja Isipokuwa wamepatana?"

Kupatana kunakotwaja hapo ndiyo Congruence katika Kunia Kwenu hadi Ngazi zenu za Akili!!


Ndiyo Upo Uhusiano katika ya Uwezo wa Mtu wa Akili na Ubora wa Tendo la Ndoa,Mapenzi uanza katika Mazungumzo,mtu ambaye akili yake ni chini na talk yake itakuwa ni ya ngazi ya chini(Given that ww ni mtu mwenye akili safi) lazima atakuboa na itaathiri tu Ushirika wenu katika KUHOMOLANA!!

NAUNGA MKONO HOJA YAKO MR.PRESIDENT 100% ON CONDITION THAT U DONT USE ELIMU NA AKILI INTERCHANGEABLY!!!
 
mimi, nina masters na mwakani Mungu akiridhia naanza PhD, lakini sio siri, kwenye mapenzi ni mshamba mshamba, mshamba!!!!
<br />
<br />


Mimi nawapenda wanawake washamba kimapenzi,so please do the needful,PM me!
 

Nyeusi - una point ya maana sana ila nitaongezea kuwa wanaotaka kuoana au uhusiano wa muda mrefu basi ni vizuri kutafakari sana suala la mpishano wa elimu maana mkipishana sana kuna matatizo yake kwenye compatibility which is key for sustainability of a relationship.

Penye nyekundu umenena vema.Ndoa ni zaidi ya mambo hayo.

Mr President angetusaidia zaidi kama angechambua dhana yake ya elimu na ushamba wa mapenzi.
 
mapenzi na elimu wapi na wapi ww ndio mshamba kuliko hao unawowaita std vii
 

Yote yanakutoka ni sababu ya vamiavamia yako.Yawezakuwa ulivamia wa dampo sasa kwa aibu wajitia wa std 7 ni Vihiyo.Wewe mwenyewe ni kihiyo wa MAHABA! kumbuka ulikotoka!we si ndo unatoka kwenye familia ya VIHIYO! acha kubeza elimu za watu hujui ni kwasababu gani wamekwamia hapo ktk 7
 

nimepata jibu kuwa sababu ya kutotongoza tena hivyo vibinti vya std 7 si kweli kama ni vihiyo wa mambo bali umeacha ile tabia yako ya ufataki.hongera mzee!
 
for your information hao unaosema hawajui na washamba basi umekosea sana,hao ndiyo wenye muda mwingi wa kudeal na love making kuliko wasomi maana hawana stress za mawazo,pia kama walishindwa kusoma basi ujue wapo fiti kwenye taaluma nyingine.mfano mzuri ni kati ya HOUSE GIRL na MKEO MSOMI mwenye uwezo wa kupiga mechi vizuri ni house girl NDIYO maana ndoa zinavunjwa na ORDINARY WORMAN.
 
Sijajua kwanini Darasa la saba wanatukanwa hapa au kuna matatizo ya Kisaikolojia! (maana neno washamba! nadhani halijatumika vyema hapa)

Mara zote nimekuwa nasema kuna kusoma na kuelimika hivi ni vitu viwili tofauti! na vyeti siyo uwezo wa akili, bahati mbaya sana huwezi kumjua mtu anaelimu gani humu JF ila heshima ni lazima iwekwe mbele siyo dharau, ni bora ungemtaja huyo Darasa la saba wako aliyekukwaza kwa jina siyo kuunganisha watu wote wenye elimu ya Msingi na kuwaita eti wote washamba, kwasababu huyo wakwako unamwona mshamba, labda nawewe anakuona Mshamba pia anasema hataki tena watu kama wewe! Sioni kama unayo-Sample sahihi ya Darasa la saba kiasi cha ku-judge kuwa wote ni washamba na hawajui uloda si kweli wao ndio wanaongoza kwa Tanzania, ndio waliofundwa na kwenda unyago kuliko hao waliokuwa biz mashule na kukimbia unyago.

Tunajua Darasa la saba walijenga familia hadi za PhD, walio olewa hadi na Ma-Prof, Mara zote maneno yanaweza kushusha au kujenga heshima.

Hivi ni syllabus ya nchni gani baada ya Darasa la saba wanafundisha mapenzi? tuanzie hapo alafu tutaelewana baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…