Ulifumania niniNilikuwa naheshimu, nathamini na kupenda kiumbe kinaitwa mwanamke. Nilikuwa nice man. Nilililewa na bimkubwa, hivyo ilinifanya niwe nice sana kwao.
Sikuwahi kumwambia mdada I love you ikiwa najua simanishi. Inshort, I had a true love inside of me. Nimesalitiwa sana na nina maex wengi tu ila wote ni maamuzi yao hasa baada ya kwenda vyuo au kupata wengine.
Sikukata tamaa nilizidi kujipa moyo. Mwaka 2019 ndo nilikutana na kiumbe aliyenifanya niwe mtu mwingine kabisa. Nilimpenda sana huyu manzi. Sijawahi kupenda hivyo na sitokuja kufanya huo ujinga. Alichonifanya ndo nilibadilisha mtazamo wangu juu ya hawa viumbe.
For now, siheshimu, sijali wala siwezi kuthamini hawa viumbe. Sitorevange kwa mdada yeyote maana mi mtu imani. Ila namuonea huruma mke ntakayemuoa. Japo uwezakano wa kuoa ni mdogo sana.
Acheni kutetea wanawake. Hawa watu walishalaaniwa tangu kuumbwa.
Upo sahih mkuu.Mi sijui Nini kinatokea ila nadhani Moja ya malengo yetu 2025 iwe kupunguza udharilishaji dhidi ya wanawake hasa mitandaoni
Mfano ukiangalia hapa JF utakuta nyuzi za kuwaponda wanawake ni nyingi mno na wao maskini hujibu kwa kujificha ficha ila unaona namna wanaumia
Tusiwe simps ila pia tusiwe katili dhidi Yao kwa maneno au matendo
Pole mkuu, bt nadhani umekutana na wanawake, waliofanywa desperate na men wengne.Nilikuwa naheshimu, nathamini na kupenda kiumbe kinaitwa mwanamke. Nilikuwa nice man. Nilililewa na bimkubwa, hivyo ilinifanya niwe nice sana kwao.
Sikuwahi kumwambia mdada I love you ikiwa najua simanishi. Inshort, I had a true love inside of me. Nimesalitiwa sana na nina maex wengi tu ila wote ni maamuzi yao hasa baada ya kwenda vyuo au kupata wengine.
Sikukata tamaa nilizidi kujipa moyo. Mwaka 2019 ndo nilikutana na kiumbe aliyenifanya niwe mtu mwingine kabisa. Nilimpenda sana huyu manzi. Sijawahi kupenda hivyo na sitokuja kufanya huo ujinga. Alichonifanya ndo nilibadilisha mtazamo wangu juu ya hawa viumbe.
For now, siheshimu, sijali wala siwezi kuthamini hawa viumbe. Sitorevange kwa mdada yeyote maana mi mtu imani. Ila namuonea huruma mke ntakayemuoa. Japo uwezakano wa kuoa ni mdogo sana.
Wengi wanaoumiza ni desperate.hicho sio kisingizio, na wao mbona wanaumiza wanaume?
labda useme walilelewa vibaya na baba zao/hawakuwa karibu nao, halafu walipoumizwa ndo trauma ya baba ikajidhihirisha
hapo ndo ningekuelewa, japo sio sheria hiyo
Hki inaweza kuwa na ukweli mkuu.Pole mkuu, bt nadhani umekutana na wanawake, waliofanywa desperate na men wengne.
Ukibahatika pata mwanamke innocent utatengua kauli.
Hapana mkuu. Just changing mkuu. Nami sivumiliagi drama. I am an innocent then I need betterUlifumania nini
Mwanamke desperate ni ngum sana kumwamini mwanaume tena kwa 100%.Hki inaweza kuwa na ukweli mkuu.
kuwa desperate ni matokeo ya kushindwa kuhimili hisiaWengi wanaoumiza ni desperate.
kuwa desperate ni matokeo ya kushindwa kuhimili hisia
tukisema ni kisingizio basi jinsia zote zina makosa
hapanaUpo sahih bt mwanaume atabaki mkosefu zaidi.
Kama umefuatilia kisa cha patrick, tizama wale wanawake innocent kama wamemfanyia ubaya wowote then tizama mwanamke desperate rachel alivyokua msumbufu.
Kaka Mbona kama umeshakata tamaa sana. Ulikuwa unahonga sana. Sasa muda na mali ulivyotumia vinakuuma.Acheni kutetea wanawake. Hawa watu walishalaaniwa tangu kuumbwa.
Sahih, bt wanaume tumezidi.hapana
binadamu yeyote ana asili ya kukengeuka.
Mkuu, sisi manice men mapenzi yamstutesa sana hapo nyuma.Kaka Mbona kama umeshakata tamaa sana. Ulikuwa unahonga sana. Sasa muda na mali ulivyotumia vinakuuma.
Anyway najua unaongea kwa hasira lakini utatudi normal tu.
Ujana tu huu.