Wakuu salaam,
Ukisoma kisa cha patrickk na reply za wadau, utagundua % kubwa ya wanawake desperate wanaotutesa ktk mahusiano, wanatengenezwa na sisi wanaume.
Imagine umekutana na wanawake innocent kama mary & samira, then unawa-disappoint big time, unadhani wanawake hawa wanaweza mwamini kiumbe aitwae mwanaume tena?
Mwanamke desperate, kamwe hawezi kua committed ktk mahusiano sawa na mwanamke innocent, hivo hatuna budi tukubaliane na matokeo ya uharibifu wetu.