Wanawake desperate katika mahusiano, wanatengenezwa na wanaume

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Wakuu salaam,

Ukisoma kisa cha patrickk na reply za wadau, utagundua % kubwa ya wanawake desperate wanaotutesa ktk mahusiano, wanatengenezwa na sisi wanaume.

Imagine umekutana na wanawake innocent kama mary & samira, then unawa-disappoint big time, unadhani wanawake hawa wanaweza mwamini kiumbe aitwae mwanaume tena?

Mwanamke desperate, kamwe hawezi kua committed ktk mahusiano sawa na mwanamke innocent, hivo hatuna budi tukubaliane na matokeo ya uharibifu wetu.
 
Mi sijui Nini kinatokea ila nadhani Moja ya malengo yetu 2025 iwe kupunguza udharilishaji dhidi ya wanawake hasa mitandaoni
Mfano ukiangalia hapa JF utakuta nyuzi za kuwaponda wanawake ni nyingi mno na wao maskini hujibu kwa kujificha ficha ila unaona namna wanaumia
Tusiwe simps ila pia tusiwe katili dhidi Yao kwa maneno au matendo
 
Nilikuwa naheshimu, nathamini na kupenda kiumbe kinaitwa mwanamke. Nilikuwa nice man. Nilililewa na bimkubwa, hivyo ilinifanya niwe nice sana kwao.

Sikuwahi kumwambia mdada I love you ikiwa najua simanishi. Inshort, I had a true love inside of me. Nimesalitiwa sana na nina maex wengi tu ila wote ni maamuzi yao hasa baada ya kwenda vyuo au kupata wengine.

Sikukata tamaa nilizidi kujipa moyo. Mwaka 2019 ndo nilikutana na kiumbe aliyenifanya niwe mtu mwingine kabisa. Nilimpenda sana huyu manzi. Sijawahi kupenda hivyo na sitokuja kufanya huo ujinga. Alichonifanya ndo nilibadilisha mtazamo wangu juu ya hawa viumbe.

For now, siheshimu, sijali wala siwezi kuthamini hawa viumbe. Sitorevange kwa mdada yeyote maana mi mtu imani. Ila namuonea huruma mke ntakayemuoa. Japo uwezakano wa kuoa ni mdogo sana.

Acheni kutetea wanawake. Hawa watu walishalaaniwa tangu kuumbwa.
 
Ulifumania nini
 
Mi sijui Nini kinatokea ila nadhani Moja ya malengo yetu 2025 iwe kupunguza udharilishaji dhidi ya wanawake hasa mitandaoni
Mfano ukiangalia hapa JF utakuta nyuzi za kuwaponda wanawake ni nyingi mno na wao maskini hujibu kwa kujificha ficha ila unaona namna wanaumia
Tusiwe simps ila pia tusiwe katili dhidi Yao kwa maneno au matendo
Upo sahih mkuu.
 
hicho sio kisingizio, na wao mbona wanaumiza wanaume?

labda useme walilelewa vibaya na baba zao/hawakuwa karibu nao, halafu walipoumizwa ndo trauma ya baba ikajidhihirisha

hapo ndo ningekuelewa, japo sio sheria hiyo
 
Nilikuwa naheshimu, nathamini na kupenda kiumbe kinaitwa mwanamke. Nilikuwa nice man. Nilililewa na bimkubwa, hivyo ilinifanya niwe nice sana kwao.

Sikuwahi kumwambia mdada I love you ikiwa najua simanishi. Inshort, I had a true love inside of me. Nimesalitiwa sana na nina maex wengi tu ila wote ni maamuzi yao hasa baada ya kwenda vyuo au kupata wengine.

Sikukata tamaa nilizidi kujipa moyo. Mwaka 2019 ndo nilikutana na kiumbe aliyenifanya niwe mtu mwingine kabisa. Nilimpenda sana huyu manzi. Sijawahi kupenda hivyo na sitokuja kufanya huo ujinga. Alichonifanya ndo nilibadilisha mtazamo wangu juu ya hawa viumbe.

For now, siheshimu, sijali wala siwezi kuthamini hawa viumbe. Sitorevange kwa mdada yeyote maana mi mtu imani. Ila namuonea huruma mke ntakayemuoa. Japo uwezakano wa kuoa ni mdogo sana.
Pole mkuu, bt nadhani umekutana na wanawake, waliofanywa desperate na men wengne.

Ukibahatika pata mwanamke innocent utatengua kauli.
 
Wapende wanawake kiukweli mate raha ya milele, hakikisha kama una wengine is ionekane kwake hata kitone cha maji.

Ila ogopeni magonjwa na mabalaa pia maishani ya kulaaniwa.
 
kuwa desperate ni matokeo ya kushindwa kuhimili hisia

tukisema ni kisingizio basi jinsia zote zina makosa

Upo sahih bt mwanaume atabaki mkosefu zaidi.

Kama umefuatilia kisa cha patrick, tizama wale wanawake innocent kama wamemfanyia ubaya wowote then tizama mwanamke desperate rachel alivyokua msumbufu.
 
Kaka Mbona kama umeshakata tamaa sana. Ulikuwa unahonga sana. Sasa muda na mali ulivyotumia vinakuuma.

Anyway najua unaongea kwa hasira lakini utatudi normal tu.

Ujana tu huu.
Mkuu, sisi manice men mapenzi yamstutesa sana hapo nyuma.
 
Back
Top Bottom