Bado utasikia nna mtu wangu, nampenda sana. Kumbe mtu mwenyewe hewa.
Wengine hawajui wanachokitaka wapo wapo tuuu..Sometimes ni vigumu sana kujua wanawake wanataka nini.
Hapo ukikaza kidogo tuu.....anaanza kukuita hubby fasterDuuh, wee huoni alivyochomoa hapo??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gia za kuwakataa nyie siku hizi sio hizo tu stunter gia kubwa ya siku hizi na naamini hautarudi ni kukubali siku hiyo hiyo na kukupiga bonge la mzinga wengi huwa hawarudi tena akirudi nakula hela na najifanya nimekosea kutuma sms ya kuulizia arv ikaenda kwake hapo ndo basi tena harudi tena ng'oooo
Sikuizi Hatuna Ushemeji, Tunakula hata uwe na pepopunda babekiGia za kuwakataa nyie siku hizi sio hizo tu stunter gia kubwa ya siku hizi na naamini hautarudi ni kukubali siku hiyo hiyo na kukupiga bonge la mzinga wengi huwa hawarudi tena akirudi nakula hela na najifanya nimekosea kutuma sms ya kuulizia arv ikaenda kwake hapo ndo basi tena harudi tena ng'oooo
Mi anachukula hela yangu huwa Hachomoi,,, ninaweza kaa hata ,,Mwezi,,, unakuja mwenyeweee,,, tena hasa wanaojidai wasomi,, nawakula kweli,,,ukikubali tu pesa,, jua umeliwa,,Gia za kuwakataa nyie siku hizi sio hizo tu stunter gia kubwa ya siku hizi na naamini hautarudi ni kukubali siku hiyo hiyo na kukupiga bonge la mzinga wengi huwa hawarudi tena akirudi nakula hela na najifanya nimekosea kutuma sms ya kuulizia arv ikaenda kwake hapo ndo basi tena harudi tena ng'oooo
Huwa wananigbu hvyo hvyo na baadae haina ushemeji..then nawageuzia kibao.....Nyambafu/Msichana akitaka kukutafutia sababu ya kukukataa
wala hatumii nguvu, ana full of
option, na majibu yao makuu ni haya yafuatayo:
1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto atakuwa
so dark, mi napenda wanaume weupe ili mtoto atoke
mzuri.. Anaongea kwa kujiamini utadhani kwenye kutunga mimba huwa anamsadidia Mungu kukoroga
kopo la rangi ya mtoto...
2.We sio type yangu...: sasa sijui type ipi anataka Nokia
au Samsung
3.Am not ready, moyo wangu umepasuka...moyo
upasuke bado unatembea??Tairi lenyewe likipasuka watu wanaziba
pancha...
Kuwa Mwanaume shida, tunapambana na
majibu unaweza kumzaba vibao mtu na Love inaisha
hapohapo!..
Hahaah... Tatizo hamueleweki mnataka nini,STUNTER hujawai kutuelewa wanawake [emoji26][emoji26]
Ila ujue Mungu anakuona [emoji26][emoji26]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gia za kuwakataa nyie siku hizi sio hizo tu stunter gia kubwa ya siku hizi na naamini hautarudi ni kukubali siku hiyo hiyo na kukupiga bonge la mzinga wengi huwa hawarudi tena akirudi nakula hela na najifanya nimekosea kutuma sms ya kuulizia arv ikaenda kwake hapo ndo basi tena harudi tena ng'oooo
Wanakuwa wa pole kama mtu anaesikilizia utamu wa kuperepecha sikioSasa wakitolewa nje wao,
unaeza hisi kama wameonewa vile