Ndo shida yenu,mkiambiwa ukweli mnachukia.
Yaani mmezoea kudanganywa danganywa tu,
Sijui mmekuwaje...
khakhakhakhakhakhakhakhakhaaaBaada ya hapo utaskia ''natafuta mtu yoyote wakunibebesha mimba, kulea nitalea mwenyewe''
Bado utasikia nna mtu wangu, nampenda sana. Kumbe mtu mwenyewe hewa.
Ugumu upi sasa!!Sometimes ni vigumu sana kujua wanawake wanataka nini.
Anaweza akakubali kuwa na wewe kumbe anataka akuchune pesa ampelekee boyfriend wake muuza machungwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ugumu upi sasa!!
We kua na pesa halafu uje uangalie kama watakukataa
Hiyo ndio point yake [emoji28][emoji28]pesa pesa pesaAnaweza akakubali kuwa na wewe kumbe anataka akuchune pesa ampelekee boyfriend wake muuza machungwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila kama huna pesa watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji tu.[emoji30]Hiyo ndio point yake [emoji28][emoji28]pesa pesa pesa
Kweli mkuu, hali ya magu inawatesa sana hawa vimwana, kwasasa ukibadilishana nao cm, dkk chache unapokea txt ikiuliza( nikwambie kitu!)Ila kama huna pesa watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji tu.[emoji30]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwangu mimi rule number one ni "No kuhonga"Kweli mkuu, hali ya magu inawatesa sana hawa vimwana, kwasasa ukibadilishana nao cm, dkk chache unapokea txt ikiuliza( nikwambie kitu!)
Ukijibu ndio, tayari umepigwa mzinga...hawana ujanja, hakuna cha urembo wala ufungishaji....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uhonge nini wakati wewe ndo unaumia, na yeye anashangilia?[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwangu mimi rule number one ni "No kuhonga"
Ni kweli kusaidiana ni muhimu lakini hili la kukutana na mwanamke saa kumi halafu baada ya saa moja anataka pesa hapana kabisa....Uhonge nini wakati wewe ndo unaumia, na yeye anashangilia?
Huwa nawasaidia nikiwa na ziada na sio kuhonga...kusaidiana muhimu kama haiharibu bajeti
Ili tuelewe kama mpo serious au vipi. Nyie mnataka tuwakubali bila hata kujua mitabia yenu?Mademu wa kiafrika hatakama mumempenda mtu, mtaanza kumzungusha weee