Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

Ndo shida yenu,mkiambiwa ukweli mnachukia.
Yaani mmezoea kudanganywa danganywa tu,
Sijui mmekuwaje...

Hahahaaaa, Tokea nianze hii game ya kutongoza. Hakuna msichanaa niliyemtongoza akaniambia yupo single. Wooote huwa wanasemaga wana watu wao, Ila eti wanakuwaga katika bad moments ndo baadae haipiti muda unakuta napewa jibu la ndio. Huwa najiulizaga sana inakuwaje hivi.? ina maana nina pua ya kunusa mahusiano yenye nyufa ama ni nini. nakosaga jibu aisee.
 
Ugumu upi sasa!!
We kua na pesa halafu uje uangalie kama watakukataa
Anaweza akakubali kuwa na wewe kumbe anataka akuchune pesa ampelekee boyfriend wake muuza machungwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila kama huna pesa watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji tu.[emoji30]
Kweli mkuu, hali ya magu inawatesa sana hawa vimwana, kwasasa ukibadilishana nao cm, dkk chache unapokea txt ikiuliza( nikwambie kitu!)
Ukijibu ndio, tayari umepigwa mzinga...hawana ujanja, hakuna cha urembo wala ufungishaji....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwangu mimi rule number one ni "No kuhonga"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwangu mimi rule number one ni "No kuhonga"
Uhonge nini wakati wewe ndo unaumia, na yeye anashangilia?
Huwa nawasaidia nikiwa na ziada na sio kuhonga...kusaidiana muhimu kama haiharibu bajeti
 
Uhonge nini wakati wewe ndo unaumia, na yeye anashangilia?
Huwa nawasaidia nikiwa na ziada na sio kuhonga...kusaidiana muhimu kama haiharibu bajeti
Ni kweli kusaidiana ni muhimu lakini hili la kukutana na mwanamke saa kumi halafu baada ya saa moja anataka pesa hapana kabisa....
 
Mademu wa kiafrika hatakama mumempenda mtu, mtaanza kumzungusha weee
Ili tuelewe kama mpo serious au vipi. Nyie mnataka tuwakubali bila hata kujua mitabia yenu?

You have to investigate before investing.
 
Teh, eti we sio type yangu, halafu wapo wavulana wanaosemaga hivyo, nakupenda ila najua we sio type yangu, sasa umenipendajeee
Hhahahaha... Hao wavulana ni wa-primary?
 
Hahahaaaa !! Wanaume wafupi kuliko mm huwa nawaambiaga sasa tukizaa watoto si watakuwa km vidumu au vindoo kidogo !!
Hahaha wewe nawe umezidi sasa... Si umkubalie tu??
 
Back
Top Bottom