Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah leo nimepigwa mzinga mtakatifu... Ngoja nitaandaa thread ili nihadithie vizuriKweli mkuu, hali ya magu inawatesa sana hawa vimwana, kwasasa ukibadilishana nao cm, dkk chache unapokea txt ikiuliza( nikwambie kitu!)
Ukijibu ndio, tayari umepigwa mzinga...hawana ujanja, hakuna cha urembo wala ufungishaji....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu uzi leo unanichekesha sana ila yanayoandikwa hapa yote yana ukweliBaada ya hapo utaskia ''natafuta mtu yoyote wakunibebesha mimba, kulea nitalea mwenyewe''
[emoji121]Msichana akitaka kukutafutia sababu ya kukukataa
wala hatumii nguvu, ana full of
option, na majibu yao makuu ni haya yafuatayo:
1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto atakuwa
so dark, mi napenda wanaume weupe ili mtoto atoke
mzuri.. Anaongea kwa kujiamini utadhani kwenye kutunga mimba huwa anamsadidia Mungu kukoroga
kopo la rangi ya mtoto...
2.We sio type yangu...: sasa sijui type ipi anataka Nokia
au Samsung
3.Am not ready, moyo wangu umepasuka...moyo
upasuke bado unatembea??Tairi lenyewe likipasuka watu wanaziba
pancha...
Kuwa Mwanaume shida, tunapambana na
majibu unaweza kumzaba vibao mtu na Love inaisha
hapohapo!..
Wacha nilale maana leo nacheka kwa hizi comments,haya yote kayataka mtoa mada STUNTERHahahaaaa, Tokea nianze hii game ya kutongoza. Hakuna msichanaa niliyemtongoza akaniambia yupo single. Wooote huwa wanasemaga wana watu wao, Ila eti wanakuwaga katika bad moments ndo baadae haipiti muda unakuta napewa jibu la ndio. Huwa najiulizaga sana inakuwaje hivi.? ina maana nina pua ya kunusa mahusiano yenye nyufa ama ni nini. nakosaga jibu aisee.
hahahhahahaha kaka nini tena?
hebu ajibu haraka, maana sitaki maneno mie loooh.Kwani wakati namchukua wewe ulikuwa wapi mkuu??