Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

🤣Mkuu kama naweza kupata PRemio mzee nichek pm
Mkuu kamcheki sossy magari aisee kule insta. Yule jamaa anauza magari ya bei chee uzuri kabisa anakuwa kakwambia hili halitembei labda ulibebe... Hebu pita kwenye page yake mkuu, sema uwe tayari kuwa rafiki na magarage maana mbongo kukuuzia gari ujue mara nyingi kuna tatizo.
 
Sosy magar naangalia Kila sku sijaona gari mkuu zaidi ya zile screpa
 
Hilo hapana mkuu nataka la kupiga biashara ilo halifai
unataka kupiga uber au bolt mkuu? Kama ni hivyo unahitaji gari ambalo ni la uhakika sio kwenda garage kila siku hapo walau uwe na fedha nzuri mkuu.
 
Mkuu iv kwa scenario hio ,c unaona kabsa wako kimaslahi?, kama ndio hivi ndoa tupa kule.
 
Mkuu iv kwa scenario hio ,c unaona kabsa wako kimaslahi?, kama ndio hivi ndoa tupa kule.
Mkuu ni vigumu sana kupata mwanamke wa kuvumiliana kwa shida na raha. Na ndio maana couples nyingi za chuo huo zikirudi mtaani hazidumu. Mwanaume akikosa mwelekeo yeye binti atatafuta mtu anayemwona labda ana mwanga kidogo.
Sema pia hii ndio sababu hata usaliti kwenye ndoa unakuwa ni kwa kiwango kikubwa. Unamuoa binti si kwa sababu anakupenda, ila kwa sababu kwako kaona ahueni, kamwacha anayempenda. Baadaye ataanza kumtafuta na watacheat tu.
 
Nondo za Natafuta ajira ni kali sanaa
 
Hii
Kitu imenigusa mkuu mtu Kuja kwasababu ya ahueni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…