kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
Kwa sasa ndivyo mambo yalivyo. Anamwacha anayempenda anaenda kwa mwenye fedha. baada ya kuzoea hayo maisha anaanza kuona hayana maana anaanza kumiss jamaa yake. Kwakuwa ashaoelwa anaanza cheat, na mshikaji anakukomoa kwa sababu anaona kama ulimkatili, mwisho una watoto 4 kumbe 3 wote si wa kwako.Hii
Kitu imenigusa mkuu mtu Kuja kwasababu ya ahueni