Wanawake hamnaga shukrani kabisa

Wanawake hamnaga shukrani kabisa

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,208
Reaction score
14,143
Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.

Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.

Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"

Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo, matatizo yake yakiisha lazima akusahau.
 
Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.

Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.

Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"

Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo , matatizo yake yakiisha lazima akusahau.
Umepigwa za uso bwashee?
Pole sana
 
Mkuu pole Sana,

Tatizo umejua kwa kuchelewa Sana.
 
Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.

Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.

Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"

Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo , matatizo yake yakiisha lazima akusahau.

Zaburi 91:1-16​

Zaburi 91:1-16 BHN​

Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu, ataweza kumwambia Mwenyezi-Mungu: “Wewe ni kimbilio langu na ngome yangu; Mungu wangu, ninayekutumainia!” Hakika Mungu atakuokoa katika mtego; atakukinga na maradhi mabaya. Atakufunika kwa mabawa yake, utapata usalama kwake; mkono wake utakulinda na kukukinga. Huna haja ya kuogopa vitisho vya usiku, wala shambulio la ghafla mchana; huna haja ya kuogopa baa lizukalo usiku, wala maafa yanayotokea mchana. Hata watu elfu wakianguka karibu nawe, naam, elfu kumi kuliani mwako, lakini wewe baa halitakukaribia. Kwa macho yako mwenyewe utaangalia, na kuona jinsi watu waovu wanavyoadhibiwa. Wewe umemfanya Mwenyezi-Mungu kuwa kimbilio lako; naam, Mungu aliye juu kuwa kinga yako. Kwa hiyo, hutapatwa na maafa yoyote; nyumba yako haitakaribiwa na baa lolote. Maana Mungu atawaamuru malaika zake, wakulinde popote uendapo. Watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe. Utakanyaga simba na nyoka, utawaponda wana simba na majoka. Mungu asema: “Nitamwokoa yule anipendaye; nitamlinda anayenitambua! Akiniita, mimi nitamwitikia; akiwa taabuni nitakuwa naye; nitamwokoa na kumpa heshima. Nitamridhisha kwa maisha marefu, nitamjalia wokovu wangu.”
 
Mi kuna mmoja nasubiri miaka 3 ijayo nifuate mwanangu maana ameamua kugawa kama njugu
Kama ni wa kike yupo katika mazingira magumu ya malezi. Pole mkuu.

Kuna haja ya kuwa na kufanya mabadiliko sheria ya kuhusu malezi. Ni bora iwepo na sheria ya kunyang'anya mtoto iwapo mzazi/mlezi mwenendo na tabia zake si nzuri
 
Kati ya somo gumu kueleweka hata kushinda hesabu ni hili la mapenz...kila siku watu wanashauri kwa kutoa nondo nzito ila watu bdo watu wanarudia makosa yale yale....yaan unatakiwa usimwamn binadamu awae yyte...hata wewe kuna muda usiamin maamuzi yako
 
Back
Top Bottom