Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.
Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.
Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"
Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo, matatizo yake yakiisha lazima akusahau.