Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
😂😂😂 Ni mwendo wa kubutuliwa tuuuu hadi kieleweke.Eti mbangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Ni mwendo wa kubutuliwa tuuuu hadi kieleweke.Eti mbangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo hukumpenda, ulimuhurumia. Wanawake wa hivyo huwa wanatafuta pa kupata nafuu sababu maisha yamewapiga. Si kwasababu unapendwa sanaUnakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.
Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.
Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"
Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo, matatizo yake yakiisha lazima akusahau.