Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Nilimkuta kajifungua mapacha aliyempa mimba kasepa mtoto mmoja akafariki .. aliyebakia akagundulika ana shida ya moyo hela ya matibabu alikuwa hana nikawa nagharimia na baadae nikamkatia Bima... .. miaka mitatu mtoto katengamaa kakuwa kilichonikuta .... duu hawa wanawake acheni tu
Siku nyingine uache ujinga na kujidharau.
Tena alichokufanya hakijakutosha, sijui Kwa nini hakuelewi mambo madogo Kama hayo.
Ikiwa mwanamke tuu ambaye hajazaa tena mwenye Bikra kummudu unapaswa ujishike sembuse aliyezalishwa? Bado mtanyooshwa akili ziwakae Sawa.
Mimi sioni shida Kwa wanawake Ila naona shida Kwa wanaume wajinga wasioelewa saikolojia na hisia za wanawake.
Mwisho soma hapa👉👉Usimuonee huruma Mwanamke