Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Umepigwa za uso bwashee?Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.
Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.
Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"
Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo , matatizo yake yakiisha lazima akusahau.
Pole dingi wa kambo πUnakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.
Mkuu pole Sana,Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.
Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.
Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"
Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo , matatizo yake yakiisha lazima akusahau.
Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.
Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.
Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"
Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo , matatizo yake yakiisha lazima akusahau.
Aisee,the worsted world I never seen before π₯Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.
Kama ni wa kike yupo katika mazingira magumu ya malezi. Pole mkuu.Mi kuna mmoja nasubiri miaka 3 ijayo nifuate mwanangu maana ameamua kugawa kama njugu