Wanawake hamnaga shukrani kabisa

Nilimkuta kajifungua mapacha aliyempa mimba kasepa mtoto mmoja akafariki .. aliyebakia akagundulika ana shida ya moyo hela ya matibabu alikuwa hana nikawa nagharimia na baadae nikamkatia Bima... .. miaka mitatu mtoto katengamaa kakuwa kilichonikuta .... duu hawa wanawake acheni tu
 
pole sana mkuu"
Sikiliza msondo ngoma kaza moyo
 
Kampuni za bima zikianzisha bima za mapenzi zitapata faida kubwa sana
 
Wengi wanaolewa sababu ya shida zao yaani hana ramani kachoka kukaa kwao kapata mfadhili, au kapata mtu wa kuyabeba majukumu ya mzazi wake yaani kumuhudumia. Hivyo hawajui nini hasa maana ya ndoa ni nini.
 
Kati ya somo gumu kueleweka hata kushinda hesabu ni hili la mapenz...kila siku watu wanashauri kwa kutoa nondo nzito ila watu bdo watu wanarudia makosa yale yale....yaan unatakiwa usimwamn binadamu awae yyte...hata wewe kuna muda usiamin maamuzi yako
Mkishajifunika shuka moja basi huwezi fikiria wala kumbuka chochote, zaidi yakuona kile ukionacho.
 
Kumbe uliingia mwenyewe kichaka kinachofuka moshi bila kumjua aliyekiwasha alimaanisha nini, pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…