Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Nilimkuta kajifungua mapacha aliyempa mimba kasepa mtoto mmoja akafariki .. aliyebakia akagundulika ana shida ya moyo hela ya matibabu alikuwa hana nikawa nagharimia na baadae nikamkatia Bima... .. miaka mitatu mtoto katengamaa kakuwa kilichonikuta .... duu hawa wanawake acheni tu
Hahahahahah kufwafwanzikaaUnakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.
Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.
Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"
Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo, matatizo yake yakiisha lazima akusahau.
Yaukweli hayo? Ingekuwa hivyo basi kusingekuwepo utapeli wa mapenziMimi hata wkt napiga show huwa najikuta nawaza mambo mengine ya msingi kama mtu anaekunywa kahawa kijiweni...kiuhalisia hyo mambo si kipaumbele tena kwangu ....nafanya tu kujiburudisha....hii ni kutokana na na huu utapel unaofanywa na hawa wenzetu wa upande wa pili
Wanatapeliwa wasiojua mapenz ya sasa!!kila kitu kimebadilika..hakuna mepnz siku hiz....ni kupotezeana muda tu huku mwenzako anaendelea kufaidi kipato chako kwa mgongo wa kujiita mpenx wako huku akiwa na lundo la wanaume nyuma anaowadanganya kama anavyokudanganyaYaukweli hayo? Ingekuwa hivyo basi kusingekuwepo utapeli wa mapenzi
Hii analysis umeifanya na kuassume mwanaume ni muhuni au ni baharia. Nakuapia hakuna baharia anayemgharamikia mwanamke hivyo, maana anajua ni business plan. Mwanamke akimgharamikia na kujitoa kwake hivyo kamwe usifananishe na biashara maana kwamba amependa. Selfish reasons ni kumpa materiliastic things ili kumpata huyo mwanamke na si kwenye upande wa maendeleo wa maisha ya huyo binti. Mwanamke asipokaa na kufikiri atapoteza second chance mara nyingi sana baada ya yeye kuachwa na mtoto wakati wa first chance. Mfano bima ni kwaajili ya maendeleo ya huyo mwanamke maana tayari amemkomboa kwenye wingi wa gharama za maisha anazoweza kuzipata. Kamwe mwanaume aliyekuwa anakutaka kwenye mlengo wa kukupa materialistic goals asingeumia au hata kulalamika maana jitihada alizofanya zingekuwa si kwaajili ya maendeleo ya huyo binti. Utawaongopea wanawake wengi sana kwaushauri huu maana kamwe yeye mwenyewe asipotulia chini na kuwaza mwanaume anasaidia kwa upande upi basi atazidi kuangamia na kupoteza kila uchwao. Ni kama ideology ya single mother, watu wamewalabel jina baya sana ila wewe ndio unayetakiwa kutafsiri na kuwaza maana si kila single mother huwa na upumbavu akilini mwao. Society zilitoamashauri kama yako na hii ya single mother kukutahadharisha kuwa chunguza kwa makini lakini haikusema kila wa hivyo yupo hivyo lasivyo utaishi kwakusikiliza mawazo superficial ya jamii na kujikuta either ni malaya, muhuni au usiyejua nataka nini maishani. Wewe ni wewe na maisha ni yako waza na fikiri kwa makini. Hata hivyo, maadili na jamii ishaangamia ila nasisitiza mwanamke asipotumia akili atabaki kudharauliwa na kuchezewa kila uchwao kwakuwaza superficial hasa lijapo swala la mahusiano, mfano mmojawapo ni kuchukuwa shauri kama lilivyo. Akuchezeaye hufanya maendeleo ya kuendeleza starehe na anasa bali akupendaye hufanya maendeleo ya kufanikisha maisha maana simjinga, maisha yakifanikiwa basgi mjue mtastarehe tu. Common sense is not very common.Wewe kumbe unaoa mtu "kumsaidia" kumbe infact ni wewe umeona ana shida ili umpate kirahisi utimize your selfish reasons of holding someone?
Guess what,na yeye ana akili,alikua hakupendi since day one,sema kwavile ana shida akaona akubali ili akikaa sawa aweze kufata anachokipenda
Wa kulaumiwa ni wewe unaejifanya ku capitalize kwenye matatizo ili uweze kutimiza nia zako....
Eti "nimemsaidia"..hapana,ni "umejisaidia" wewe binafsi,uzuri muda umefika wa hiyo kujisaidia kwa kutumia matatizo ya watu umefika mwisho maana yale matatizo yameisha hakuna cha kuchukulia tena
Wewe ungeoa mwanamke alie kamili asie na hizo shida unazojifanya ku capitalize ili baadae uanze kusema maneno ya hovyo hivi "nilimsaidia leo kanisaliti"
Nani kakwambia "usaidie" watu ili uwaoe?
Watu wanaoa kwa "kumpenda" muhusika bila kuwepo na vigezo vya shida na blah blah
Haikua ndoa ,ilikua ni financial /business proposition na kulikua hakuna love from the start,ilikua ni financial institution lending to an individual kwa kigezo cha kuoa kumbe ni wrong reason and lies among yourselves.
Now wewe unajipa high priest status,kumbe ni hovyo kama mwenzako,wakati mnajua kabisa mlikula njama tangu mwanzo wote wawili
Acha maneno mengiHii analysis umeifanya na kuassume mwanaume ni muhuni au ni baharia. Nakuapia hakuna baharia anayemgharamikia mwanamke hivyo, maana anajua ni business plan. Mwanamke akimgharamikia na kujitoa kwake hivyo kamwe usifananishe na biashara maana kwamba amependa. Selfish reasons ni kumpa materiliastic things ili kumpata huyo mwanamke na si kwenye upande wa maendeleo wa maisha ya huyo binti. Mwanamke asipokaa na kufikiri atapoteza second chance mara nyingi sana baada ya yeye kuachwa na mtoto wakati wa first chance. Mfano bima ni kwaajili ya maendeleo ya huyo mwanamke maana tayari amemkomboa kwenye wingi wa gharama za maisha anazoweza kuzipata. Kamwe mwanaume aliyekuwa anakutaka kwenye mlengo wa kukupa materialistic goals asingeumia au hata kulalamika maana jitihada alizofanya zingekuwa si kwaajili ya maendeleo ya huyo binti. Utawaongopea wanawake wengi sana kwaushauri huu maana kamwe yeye mwenyewe asipotulia chini na kuwaza mwanaume anasaidia kwa upande upi basi atazidi kuangamia na kupoteza kila uchwao. Ni kama ideology ya single mother, watu wamewalabel jina baya sana ila wewe ndio unayetakiwa kutafsiri na kuwaza maana si kila single mother huwa na upumbavu akilini mwao. Society zilitoamashauri kama yako na hii ya single mother kukutahadharisha kuwa chunguza kwa makini lakini haikusema kila wa hivyo yupo hivyo lasivyo utaishi kwakusikiliza mawazo superficial ya jamii na kujikuta either ni malaya, muhuni au usiyejua nataka nini maishani. Wewe ni wewe na maisha ni yako waza na fikiri kwa makini. Hata hivyo, maadili na jamii ishaangamia ila nasisitiza mwanamke asipotumia akili atabaki kudharauliwa na kuchezewa kila uchwao kwakuwaza superficial hasa lijapo swala la mahusiano, mfano mmojawapo ni kuchukuwa shauri kama lilivyo. Akuchezeaye hufanya maendeleo ya kuendeleza starehe na anasa bali akupendaye hufanya maendeleo ya kufanikisha maisha maana simjinga, maisha yakifanikiwa basgi mjue mtastarehe tu. Common sense is not very common.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno mengi sikwasababu hutaki kusoma😂😂😂😂. Ndio ninapoendelea kusema mtanzania yupo tatari kuchukua kitu superficial ili akimbiye kuwaza au kufikiri. Halafu ukaamua wewe kama wewe kuwa wanaume wote wanaakili kama zako😂😂😂. Mengine, waza uwazavyo, akili ni nywele kila mtu anazake.Acha maneno mengi
Ilikua biashara,na wote wanajua sema unafiki uliwajaa
Huyu alitumia shida za mwingine ili ampate...na yule alikubali ili shida iishe then akili imrudie
Maneno meeengi hayana maana!
[emoji1787]Pole dingi wa kambo [emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tutaongea mpaka lini mnatuchosha bwnaa
Hata wewe Kuna muda usiyaamini maamuzi Yako [emoji419][emoji419]Kati ya somo gumu kueleweka hata kushinda hesabu ni hili la mapenz...kila siku watu wanashauri kwa kutoa nondo nzito ila watu bdo watu wanarudia makosa yale yale....yaan unatakiwa usimwamn binadamu awae yyte...hata wewe kuna muda usiamin maamuzi yako
Tukiwaambiaga hawa masingle maza ni wakutomber tuu mnatuona sie wabaya.Tayar huko amkeni amkeni!!!! kashaingia kweny mikono ya single mother.
[emoji419][emoji419][emoji419]Women find it incredibly difficult to appreciate the sacrifices men make for them.
Do not expect them to understand.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama vipi na ww unamzalisha unamuacha anakua na watt wawili wenye utapia mlo
Aiseee hivi testimony zote hizi wenzetu wanaopigwa matukio hko hawajawahi kuzisoma !?Nilimkuta kajifungua mapacha aliyempa mimba kasepa mtoto mmoja akafariki .. aliyebakia akagundulika ana shida ya moyo hela ya matibabu alikuwa hana nikawa nagharimia na baadae nikamkatia Bima... .. miaka mitatu mtoto katengamaa kakuwa kilichonikuta .... duu hawa wanawake acheni tu