Wanawake hamuoni fedheha kuvaa nguo za ndani zinazojichora hasa mkitembea?

Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama.

Mimi naamini huwa wanajiona kwenye vioo ila kwa akili zao baadhi wanaona ni sawa tu au ni sehemu ya kuongeza mvuto kitu ambacho si kweli.

Ukitaka kujia ni makusudi au kujiachia tu, angalia wanawake au wamama wenye madaraka au nyadhifa katika jamiii na wengine wenye kujiheshimu uone kama wanakuwa na muonekano huo wa kufedhehesha kwenye makalio.

Kingine, mnaponunua nguo za ndani epukeni zile zenye mapindo makubwa na zaidi muepuke kuvaa nguo za kubana kwani mnajiabisha na zaidi mnaaibisha na wenzenu wanaojiheshimu.
Wee, rudi kijijini kwenu ukafungue msikiti tuachie mji wetu.
 
Mkuu kama una kitu kina kuweka bize, kina shughurisha ubongo wako, hayo Mambo ya pindo za, chupi za, wanawake, hayawezi, kukusumbua, sio jambo LA ajabu, vitu vya kawaida sana
 
Hao nao wanakusumbua akili wao ndiyo wanataka hivyo sasa hizo ishu za maadili watu washavuka hiyo chapter.
 
Nimekuoa wewe sweetheart.. you are my wife..
Typing error love lol hahahaha!
I meant ungeona sio kuwowa ! I know Wa kuniwowa ni mie tu hakuna mwingine 💋!

Kuna materials za nguo sio poa lov unakuta zinachora balaa
 
Hahahaha Kuna kigauni fulani hivi ukinivaliaga... Aisee... I like mh!! Okay...
 
Nyingine za kuvaa sehemu maalumu na partner wako sasa wengine wanavaa tu kwenye halaiki doh🤠🤠!

Nguo za kuchora maungo sio poa smart
 
Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama.

Mimi naamini huwa wanajiona kwenye vioo ila kwa akili zao baadhi wanaona ni sawa tu au ni sehemu ya kuongeza mvuto kitu ambacho si kweli.

Ukitaka kujia ni makusudi au kujiachia tu, angalia wanawake au wamama wenye madaraka au nyadhifa katika jamiii na wengine wenye kujiheshimu uone kama wanakuwa na muonekano huo wa kufedhehesha kwenye makalio.

Kingine, mnaponunua nguo za ndani epukeni zile zenye mapindo makubwa na zaidi muepuke kuvaa nguo za kubana kwani mnajiabisha na zaidi mnaaibisha na wenzenu wanaojiheshimu.
That is business
 
Back
Top Bottom