Wanawake hamuwezi kuachana na Ma Ex wenu?

Noted for implementation
Sent using Jamii Forums mobile app
 
"No women no cry" Aliimba legendary mmoja sasa hivi yupo kusikojulikana may God keep his soul in peace
 
Wanaojitambua hawawezi kuendeleza mahusiano ya kale,ila mambumbumbu wataendeleza.
 
What i know for sure ni kwamba mwanamke akimpenda mtu anampenda kweli, na akichukia mtu anamchukia kweli. That being said inategemea hao ma-ex waliachana katika mazingira gani, kama waliachana kwa wema (wanakubaliana kabisa), hawa ni rahisi sana kuja kukumbushia enzi, tofauti na wanaoachana kwa ubaya, hawa miyo yao huwa inakua na maumivu, na wakipata faraja ya kuwafuta machozi na kurudisha furaha yao huwa sio rahisi kugeuka nyuma. Ila kujielewa kwa mwanamke mwenyewe kunahusika pia

the Legend☆
 
Hizi mambo bhana,,hii mada imenikumbusha x wangu tulitofautiana miaka mitatu iloyopita,sasa juzi ya j,pili naona kanitumia sms eti(Yaani wewe) sijaijibu nasubiri nyingine kisha tukapashe vipolo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa kweli ex wangu kanitafuta nipo wapi?nikamjibu nipo mkoa fulani.Akaniambia nisikose mahafali yake na atanilipia chakula,nauli na lodge yaani gharama zote juu yake Aisee licha ya kuwa tayari ameolewa na ana mtoto.

Bahati nzuri nina moyo mwepesi nikamjibu Asante Sana.

Sitaki majaribu mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…