Wanawake hamuwezi kuachana na Ma Ex wenu?

Hawa watoto ni wapuuzi sana....unaweza kuwapenda lakin wakakuona boya...!!juzi juzi ameanza kujileta..!!namkamua hlf nampotezea tena.....staki mazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa hata kwanini bibilia ilisema tuwapende maana hawapendeki. The moment umeanza onesha true colors of love ndio hapo hapo unapigiwa! Umefanya kitu sahihi, akijileta gonga ishia zako...no mazoea na pimbi!
 
It takes two to TANGO 😎

 
As a woman I contribute! Wanawake wengi wajinga achana na x unaweza mnunulia gari mkeo na akang'olewa na mshkaji anayeweka mafuta au kuosha gari.
Tuna ka akili Fulani ka kijinga ambako kanapelekea hizi mambo kuhappen! Yaan mwanamke akizaa au akitembea na mtu anadhan katembea na dunia anaacha uhalali wa mtu huyo kurejea mda wowote akipenda...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah kumbe kweli, sasa muachage maujinga hayo!
 
UKWELI MCHUNGU kwa wale WALIOOA WANAWAKE sio BIKIRA...watapita Kimya kimya...maana kabla ya kumuoa huyo MKE alikuwa na X MAN 67 .....sijuwi UTAMLINDA yupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaa ndo kilichobaki....siku hizi nna moyo baridi...sinaga haata ham nao
Nashangaa hata kwanini bibilia ilisema tuwapende maana hawapendeki. The moment umeanza onesha true colors of love ndio hapo hapo unapigiwa! Umefanya kitu sahihi, akijileta gonga ishia zako...no mazoea na pimbi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ndoa ililazimishwa na yeye hakuridhia basi ujue wakikutana watapasha kiporo. True love huws haifi..
Hiyo kitu nimeshuhudia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga cha true love huwa ni kutokujitambua tu kwa mwanamke, lets say alimkimbia kwa sababu ya uchumi akaona anachelewa then umeanza kupata visent anarudi nado useme alikupenda,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…