Wanawake hamuwezi kuachana na Ma Ex wenu?


Sasa hao x za wanawake Ni wanawake wenzao??

Si Ni wanaume ambao na nyie hamuachani na Max wenu...

Sijui nimeeleweka

Tuacheni kunyoshea vidole wanawake tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nina rule moja. Huwa sili wake za watu. Huo msimamo wangu toka zaman.
Huwa najiwekwenye viatu vya mwanaume mwenzangu.. ananyojikunja kwa jasho,huenda kuwa anafanya kazi zakudharaulika ananyeshewa na mvua.. ili mke apendeze, apate kula vizur..
Halaf leo hii aliwe kilain.. moy unanisuta sana. That not a right way.
Mm wangu nitamps uhuru.. akiliwa nje nitajua tu na nikijua ni kibut... sinaga games na maisha
wewe acha tu.niamini Mimi wenzio wanakula mpaka vyako
kama vipi na we we kula tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scenario uliyoisema hapo ni tamaa. Ila nikwambie tu kuwa mkuu ni wachsche wapewa utashi wa kuzuia hiyo hali. Wengi huws wanajiendekeza sana ndio maana wnaliwa
Hakunaga cha true love huwa ni kutokujitambua tu kwa mwanamke, lets say alimkimbia kwa sababu ya uchumi akaona anachelewa then umeanza kupata visent anarudi nado useme alikupenda,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…