Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Unavyo waza ww... sio wanavyowaza wengine. Kila mtu ana vigezo vyake kwenye suala la mapenz.. wengien wanapenda wanaume watanashati.. wengine wanapenda mahandsome.. huku wengine wanapenda sura mbaya... wengine wanapenda vibami ..wkt wengine wanapenda mihogo mikubwaaaa..
 
Daah kumbe mkuu maana nimekuwa na wasiwasi sanaa kuwa huyu bibie atakuwa na shida fulani kumbe wew tayari umeshambamba
 
Honestly,mwanaume ambaye ananuka Ni TURNOFF..hata wanaume sdhan Kama wa wanapenda mwanamke anayenuka.
Ofcuz personally napenda a hint of some natural smell.Depends though.
Nadhani mleta mada alimaanisha kwamba kuwa too smart is not what women fall for.She is right.Kuwa msafi,usinuke,hata Kama u are a bit rough..ila kuwa msafi.Dont over dress(what for?).Chomekea shati vizuri when u are supposed to.Tuck out if and when u are supposed to.Right thing at the right place,[emoji6]and that's how u get the right girl.
 
Miss natafuta vp kwema huko,nilikua napita ila nachungulia kidogo
 
Unatuingiza chaka ili tuwakose...walah me ntaendelea kujiweka poa silaha hii imenipa ushindi mara kibao ila the opposite ya kusema niwe rough eti ndio ntangoa miss sifuati ushauri huo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hujalijua tatizo lako, you seems to be very inferior ukijilinganisha na a such kind of man..
Ndivyo ilivyo hata kwa men, kila mtu huwa anapenda na kuvutiwa na level zake.

Unaweza kukuta man anasema ye hapendi kabisa mwanawake wenye nywele ndefu, unajua kwa nini hapendi? hata yeye hajui..! ila jibu ni kwamba mawazo ya haraka yamemuijia namna huyo mwanamke anavyotumia muda mwingi kuhudumia hizo nywele na gharama ya kuzitunza, mwisho wa siku amajikuta tu anachukia wanaweke wa hivyo.

Miss unasema unapenda wewe ndio umpendezeshe mwanaume, sio umkute yeye ni wa kupendeza tu, .... Huu ni uoga juu ya mwanaume wa namna hii kwamba unahisi unajua vitu vingi about fashion na huna cha kumfindisha, kila mtu anapenda awe na cha kumfundisha love mate wake. Kama yuko vizuri upande wa fashion basi tafuta kamshikie upande wa mapishi. Value yourself kwamba you can have and handle any kind of man.
 
Labda wewe naomba usijumlishe humo pulizz sema baadhi ya wanawake
 
Binafsi napenda mwanaume mzuri avae vizuri asipojua nitamfundisha awe smart na kingine ajue usafi na kazi za nyumbani. Elimu sijali sana lakini awe business man au private sector sio mwajiriwa serikalini. Ajue kuitafuta pesa na kutumia kwa akili. Thus y napenda wachaga tu luckly enough nimempata mwenye sifa hizo. I'm blessed indeed[emoji120]
 
Pia anukie vizuri sana manukato ya bei kali ili harufu yake iwe unique. So sema tu baadhi dear. Tena wangu ana macho mazuri na dimpoz juu..
 
Ila kuna kitu mbasha anakosea kwl anaover wear sana haipendezi ....hasa kwa rijali...
 
Mi harufu ya kwapa sitaki kabisa kuisikia ,na nnapenda wanaume wazuri nikiwa nao kitandani nafeel nipo na mwanaume haswa akiwa na zile muscles huwa napata hamu zaidii
 
Thanks young lady...am working onvyour ingredients soon or later you will be by my side....
 
Daah kumbe mkuu maana nimekuwa na wasiwasi sanaa kuwa huyu bibie atakuwa na shida fulani kumbe wew tayari umeshambamba
nyie mashoga endeleeni kujifariji nani anawataka nyie hata hela ya toilet pepa ya kuchambia hamna mfyuuuu !
 

Ha ha haaa!! Nimecheka sana aisee. Hivi kumbe harufu ya kwapa nayo inaleta nyege? Hii ni kali ya mwaka.
 
Mh,sio kwamba umeshaingia mkenge kwa hiyo umebakia kujipa moyo kuwa wanawake wote wako kama wewe....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…